Edin Dzeko akifunga bao ushindi baada ya dakika ya 21 kwa kichwa baada ya krosi ya James Milner.
Haikuwa mwanzo rahisi katika soka la England kwa Manuel Pellegrini.
Vichapo viwili kutoka Marekani ya kusini kwa Manchester City katika ziara yao ya maandalizi ya kuanza kwa msimu haitalinganishwa na kumpoteza kwake mama yake mzazi Silvia, kulikotokea ghafa katika kipindi cha si zaidi ya miezi miwili baada ya kuanza kazi yake mpya ya kuinoa Manchester City.
SOUTH CHINA 0-1 MAN CITY
South China: Barry, Chak, Ticao, Cheng (Martins, 45), Naves, Lee Wai Lim (Lee Hong Lim, 52), Sealy, Tse, Joel, Kwok, Zhang
Man City: Hart, Zabaleta (Sinclair, 75), Kompany, Lescott, Clichy (Kolarov, 45), Milner, Nasri, Barry (Rodwell, 55), Fernandinho (Javi Garcia, 65), Toure (Negredo, 55), Dzeko (Richards, 75)
Goals: Dzeko
Man City: Hart, Zabaleta (Sinclair, 75), Kompany, Lescott, Clichy (Kolarov, 45), Milner, Nasri, Barry (Rodwell, 55), Fernandinho (Javi Garcia, 65), Toure (Negredo, 55), Dzeko (Richards, 75)
Goals: Dzeko
Baada ya yote hayo meneja huyo ameanza kupata ushindi wake wa kwanza katika michuano maalum ya Asian Trophy ushindi ambao kwake utakuwa ni wa kukumbukwa akiwa amerejea kutoka katika mazishi ya marehemu mama yake.
Uwanja wa Hong Kong Stadium ulikuwa katika hali mbaya baada ya kunyesha mvua na kulazimisha kusubirisha mchezo wa kwanza baina Tottenham and Sunderland, huku katika mchezo baina ya City na South China kikosi cha Pellegrini kikipata bao la ushindi kunako dakika ya 21 baada ya krosi nzuri ya James
Milner kumkuta Edin Dzeko na kuandika bao hilo pekee.
Pellegrini akiwa kazini baada ya kumzika mama yake.
Pellegrini amefarijika na uwzo wa mchezaji wake mpya Alvaro Negredo aliyemsajili kwa pauni milioni £20.6 aliyeingia kipindi cha pili.
Negredo (juu) alionyesha kandanda safi katika mchezo akiingia baada ya kutoka Kolarov.
Joe Jart akipanga safu yake ya ulinzi.
Kompany
Wet, wet, wet: It is very, very wet in Hong Kong
No comments:
Post a Comment