KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 24, 2013

MASHABIKI KUFRU WASHUHUDIA LIVERPOOL WAKIIFUNGA MELBOURNE NCHINI AUSTRALIA.

Alone: Suarez walks down the tunnel after Liverpool's 2-0 win over Melbourne
Suarez akitembea katika njia ya kutokea uwanjani kuelekea katika mchezo baina ya Liverpool na Melbourne mchezo ambao Liverpool walichomoza na ushindi wa mabao 2-0.

Back in the fold: Suarez made his first appearance in a Liverpool shirt since April 21
Suarez akishuka uwanjani kwa mara ya kwanza na kuvalia jezi ya Liverpool tangu kwa mara ya mwisho kufanya hivyo April 21.

Benched: Suarez started the game as a sub, but came on with 70 minutes gone
Suarez alianzia benchi kabla ya kuingia kunako dakika ya 70.

Brendan Rodgers anaamini kuwa kurejea kwa Luis Suarez itaakuwa ni dhihirisho la kushinda vita ya kumbakisha mshambuliaji huyo katika katika klabu yake ya Liverpool.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa  Uruguay ambaye amekuwa katika mvutano mkubwa wa tetesi za kutaka kuelekea kwa washika bunduki la London Arsenal, hii leo alikuwa katika wingu kubwa la kelele za mashabikiwa 95,446 waliofurika uwanjani hususani wakati akiingia kunako dakika ya 72 katika mchezo ambao Liverpool iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya  Melbourne Victory huko MCG. 

Suarez ndiye aliyetengeneza bao la pili la Liverpool baada ya kugeuka na kuachia mpira wa krosi ulimkuta Iago Aspas baada ya kupata mpira wa kona fupi kutoka kwa Stewart Downing.

 Steven Gerrard ndiye aliyefunga bao la kwanza baada ya jitahada zake binafsi.

Arsenal iliwashitua Liverpool hapo jana kwa kutangaza ofa nono ya pauni milioni £40,000,001 kujaribu kuvunja mkataba wa Suarez lakini Rodgers anasisitiza kuwa hakuna kitakacho badilisha msimamo wa klabu yake juu ya mshambuliaji huyo na kusema anataka mshambuliaji huyo kusalia Anfield.
Welcomed: Brendan Rodgers looks on as Suarez is finally brought into the fold
Suarez
Into his stride: Suarez was slow to start, but impressed in the last five minutes of the game
Contemplate: Suarez could yet move away from Anfield before the new season
Popular: Suarez is still loved by Liverpool fans, and was given a huge reception after the game
Suarez bado anapendwa na mashabiki wa Liverpool na amepata mapokezi mazuri na kulakiwa na mashabiki hao baada ya mchezo wa leo.

 Still hanging around: Suarez signs an autograph after the match at the Melbourne Cricket Ground
Suarez akisani autograph baada ya mchezo huko Melbourne Cricket Ground.

All smiles: Suarez stayed behind to greet the Liverpool fans Down Under
Suarez


Huu ulikuwa ni umati mkubwa kuwahi kushuhudiwa liverpool ikicheza mbele ya mashabiki wa 100,000 yangu kutokea hivyo katika fainali ya FA mwaka 1986 walipocheza dhidi ya Everton na Rodgers amekiri kupata mapokezi makubwa yeye wachezaji wake na maafisa wengine wa timu hiyo tangu kuwepo kwake Australia.
Wave goodbye? Speculation over the Uruguayan's future is rife

No comments:

Post a Comment