Mji wa New Jersey umeorodheshwa kama ya viwanja vitatu vitakavyotumika katika mbio za magari za 22 za Formular katika mwaka wa kalenda wa msimu wa 2014.
Mbio hizo ziliuweka mji wa New York City katika mashaka pale ulipoondolewa katika kalenda ya awali.
Lakini umekuwepo katika orodha iliyotolewa hapo jana na baraza la dunia la mbio za magari (World Motor
Sport Council) hapo jana huku miji ya nchi za Mexico na Korea nayo ikijumuishwa.
Wakati hayo yakiwa hivyo kampuni ya kutengeneza matairi ya Pirelli sasa inaweza kuendelea kuwa na dhamana ya kugawa matairi yake katika Formula 1 mwaka 2014, hii ikiwa imethibitishwa na bodi ya michezo ya mchezo huo.
Shirikisho la mchezo wa mbio za magari FIA limetoa taarifa yake likithibitisha juu ya kalenda ya michezo ya Fomula 1 kwa mwaka ujao wa 2014 likihitimisha mipango ya mwaka huo.
2014 Calendar.
16 March:
Australia (Melbourne)
30 March:
Malaysia (Sepang)
6 April:
Bahrain (Sakhir)
20 April:
China (Shanghai)
27 April:
Korea (Korea International Circuit)*
11 May:
Spain (Barcelona)
25 May:
Monaco (Monaco)
1 June:
Grand Prix of America (New Jersey)*
8 June:
Canada (Montreal)
22 June:
Austria (Red Bull Ring)
6 July:
Britain (Silverstone)
20 July:
Germany (Hockenheim)
27 July:
Hungary (Budapest)
24 August:
Belgium (Spa-Francorchamps)
7 September:
Italy (Monza)
21 September:
Singapore (Marina Bay)
5 October:
Russia (Sochi)*
12 October:
Japan (Suzuka)
26 October:
Abu Dhabi (Yas Marina)
9 November:
USA (Austin)
16 November:
Mexico (Mexico City)*
30 November:
Brazil (Interlagos)
* Subject to the circuit approval
No comments:
Post a Comment