SOKA
LETU BANAAAA.
UKISEMA CHA NINI MWENZAKO ANAJIULIZA ATAKIPATA LINI?...
YANGA WALIMPONDA IVO MAPUNDA WALIPOPOLEWA KULE MOROOO NI BAHATI KABLA
HAWAJAMTIMUA KWA KASHFA ST GEORGE WAKAMUHITAJI MIAKA MITANO SASA, IKAJA
ZAMU YA YAW BERKO WAKADAI KAISHA NA MSUMBUFU SASA WOTE WAMETUA SIMBA
NASUBIRI KUONA WATAFANYA NINI.
SIMBA NAO WALIMTOSA DIDA WAKISEMA HANA
KIWANGO, DOGO AKAJIENDEA AZAM AKAWA CHAGUO
LA KWANZA, BARTHEZ ALIOZEA BENCHI ALIDAIWA HANA KIWANGO CHA KUWA CHAGUO
LA KWANZA MWISHO AKAJIONDOKEA ZAKE NA KUTUA YANGA ALIKARIBISHWA NA KUWA
CHAGUO LA KWANZA, ALIFANYA MAMBO MAKUBWA KABLA YA KUWATIBUA KWENYE SARE
YA 3-3, JUNI MWAKA HUU.
SIMBA NAO WAKAMUACHA KASEJA KIMYA KIMYA LKN
IKAONEKANA HAWAJAMPA HESHIMA ALIYOSTAHILI WALIKUWA WAKISEMEA CHINI CHINI
HAFAI ANAWAANGUSHA, IKADAIWA WAMEMFANYIA FITINA ASISAJILIWE HATA KULE
DR CONGO IKAMUUMA AKAMUOMBA MUNGU SASA AMEUNGANA NA DIDA NA BARTHEZ
YANGA. NASUBIRI KUONA KIONGOZI GN KATI YA WALIOHUSIKA KUWAACHA MAKIPA
HAO ALIFANYA MAAMUZI SAHIHI? NITAJUA MAKIPA HAO WATAKAPOPEWA NAFASI
UWANJANI.
No comments:
Post a Comment