KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, January 25, 2014

Rais wa Lazio Claudio Lotito awakoromea mashabiki

Rais wa Lazio Claudio Lotito amewakoromea baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo ambao wamehoji matokeo ya timu hiyo kupoteza mchezo dhidi ya Juventus jumamosi.
Kichapo hicho kwa Bianconeri kimewafanya wapinzani wao wakubwa Roma katika msimao wa ligi wameachwa mbali zaidi na kibibi kizee cha Turin katika nafasi ya juu ya msimamo wa Serie A, na kupelekea mashabiki wa klabu hiyo maarufu kama Biancocelesti kulalamikia matokeo hayo.

No comments:

Post a Comment