KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, June 16, 2014

Kombe la dunia: Pepe aigharimu Ureno


Mlinzi wa Ureno Pepe ameonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kufuatia kumchapa kwa makusudi kiungo wa Ujerumani Thomas Muller mapema kunako dakika ya 37.
wakati huo timu yake ikiwa nyuma kwa magoli mawili yaliyofungwa na Muller kwa penati na lingine likifungwa na Mats Hummel ambayo kimsingi yalimchanganya Pepe.

Mwamuzi Mserbia Milorad Mazic hakusita kumuonyesha kadi nyekundu ya moja kwa moja ambayo imetoa nafuu wa Ujerumani kupata mabao mengine mawili na kupeleka ushindi wa magoli 4-0

No comments:

Post a Comment