KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 14, 2014

Kumbe siri ya ushindi ya Uholanzi ni kuwa wachezaji walikutana na wake na mademu zao? Van Gaal

Louis van Gaal ameweka wazi siri ya ushindi wa kikosi chake kuwa ni kuwapa nafasi wachezaji wake kupata nafasi ya kujivinjari na wake zao na marafiki zao wa kike kuelekea katika mchezo wa ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Hispania.
Mameneja mara kadhaa wanakuwa wanachukua hadhari ya muda kwa wachezaji wao kuvinjari na wapenzi wao kabla ya mchezo mgumu.
Lakini Van Gaal, anaonekana kuweka wazi mbinu mbadala kiasi wachezaji wake Robin van Persie na Arjen Robben kutoa maumivu makubwa kwa mabingwa watetezi wa kombe la dunia Hispania.

'My principle is the overall picture,' Van Gaal amenukuliwa na gazeti la Mirror. 
'The total person. The player.
'His brain and his psyche plays a part. And the psyche is influenced by his environment.
'Hivyo alhamisi na asubuhi ya jana niliwapa ruhusa wake zao kutembelea hotelini na vivyo wachezaji walikuwa na furaha sana .

No comments:

Post a Comment