Ameshawishika kuwa Fabregas na mshambuliaji wa Atletico Madrid Diego Costa wote watakuwa katika viunga vya vya Stamford Bridge kiangazi hii wakati ambapo meneja huyo wa Chelsea akipambana kusaka ubingwa msimu ujao.
Chelsea ilimaliza katika nafasi ya tatu katika Premier League msimu uliopita, alama nne nyuma ya bingwa Manchester City, licha ya Mourinho kurejea na madai yake hawakuwa wapinzani wa kweli kusaka ubingwa.
Diego Costa anyakuliwa na Mourinho
Ilikuwa ikidhaniwa kuwa kukamilika kwa usajili wa Fabregas na Costa, kwa pauni milioni £28 na £32 itawasaidia kushinda taji kwa mara ya kwanza yangu msimu wa mwaka 2009-10.
Licha ya Arsenal kuwa katika mpango wa kumsajili Fabregas, Arsene Wenger alijitoa katika mbio hizo za kumsajili kiungo huyo wa Barcelona na kuifanya njia kuwa nyeupe kwa Chelsea.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27, ambaye amekulia kama mchezaji wa nyumbani ndani ya Premier
League baada ya kutumikia miaka nane katika klabu ya Arsenal, ameonyesha nia kurejea England baada ya miaka mitatu ndani ya Hispania baada ya kuambiwa kuwa anaweza kuyondoka Nou Camp.
Mourinho anaamini Fabregas na Costa wote ni mali ya Chelsea
Nyota wa Hispania na Barcelona Gerard Pique amethibitisha kuwa Fabregas anaelekea Chelsea alipokuwa akiongea na bosi wa Hispania Vicente del Bosque wiki iliyopita.
THE VIEW FROM CHELSEA
'Despite
excitement surrounding Fabregas’ move, one Chelsea season-ticket holder
of 40 years has described the signing as ‘the equivalent of hiring Rafa
Benitez as manager’.'
Mlinzi huyo alimwambia Del Bosque: ‘ameniambia kila kitu kimekamilika. Ameelekea huko kwa euro milioni €33 amenieleza.’
Rafiki wa kike wa Fabregas, Daniella Semaan ametupia ujumbe kupitia Instagram ukiwa na picha yake mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi na Antonella Roccuzzo,
akisema'
I miss this girl so so so so much' kabla ya kutumia hashtag
#tevoyaextranar, inayosomeka 'I'll miss you'.
Indication: Semann (right) posted this picture with Messi's partner (left), saying: 'I'll miss you'
No comments:
Post a Comment