KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, June 18, 2014

Van Persie amtia wazimu babu yake kwa ile style ya kufunga goli la ku-dive hewani.

Kinachoonekana kufuatia goli la kistadi la Robin van Persie la kichwa cha 'diving' dhidi ya Hispania kimeigusa familia yake baada ya babu yake na mshambuliaji huyo kuigilizia namna alivyo ruka hewani mjukuu wake na kuandika bao ambalo linaendelea kuwa gumzo kote duniani.
Van Persie alifunga goli la kusawazisha ambalo liliamsha mvua ya mabao iliyo wazamisha mabingwa watetezi wa kombe la dunia Hispania 5-1.
Inatambuliaka kama "#persieing".
Babu huyo wa nahodha wa Hispania Wim Ras mwenye umri wa miaka 93 ameungana na mashabiki wengine kuingia wazimu wa kuiga urukaji huo.