KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, July 20, 2014

Giorgio Chiellini aweka pembeni maumivu ya meno ya Suarez kombe la dunia na kufunga ndoa na Carolina Bonistalli.

Siku za furaha: Chiellini aweka kando dhida za kombe la dunia na kufunga ndoa na Carolina Bonistalli.
Giorgio Chiellini ameyaweka kwa muda maswahibu yake ya kung'atwa meno na mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez alikuwa na kikosi cha timu ya taifa ya Italia, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake Carolina Bonistalli.
Mlinzi huyo wa Juventus na timu ya taifa ya Italia kipindi kirefu cha fainali za kombe la dunia alikuwa katika gumzo la kung'atwa na Suarez katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi wakiwa katika kundi D.
Kutokana na kosa hilo, Suarez alifungiwa kwa miezi minne na michezo tisa ya kimataifa huku mwenye Suarez akiomuomba radhi Chiellini kupitia ukurasa wake wa Twitter.
United: Chiellini gets married in his home country ahead of the new Serie A season in Italy
Muunganiko: Chiellini afunga ndoa nchini kwake kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Serie A nchini Italia
Papped: People take photos of the newly-married couple after the ceremony
Watu wakipiga picha kutoka kwa maharusi hao 
Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 29 alikubali maombi ya radhi kutoka kwa Suarez na kusameheana.
Chielleni amefunga ndoa na Bonistalli nchini Italia ndani ya Montenero Sanctuary mjini Livorno.
Support: Chiellini's club side Juventus pass on their congratulations to their star defender on getting married
Klabu ya Chiellini Juventus imemtumia pongezi mlinzi huyo nyota kwa kufunga ndoa

Moving on: Chiellini has accepted Suarez's apology after the Uruguayan bit him
Chiellini akiuugulia maumivu ya meno ya Suarez kabla ya baadaye kumsamehe kufuatia kuombwa radhi na mpiga mabao huyo wa kimataifa wa Italia.

Klabu yake ya Juventus imempongeza mlinzi huyo kwa kufikia maamuzi ya kufunga ndoa wakitumia kurasa za Twitter na Instagram
'Today we congratulate Giorgio Chiellini and Carolina Bonistalli on their marriage! Best wishes for every happiness from all Juventini!'