KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 29, 2014

Jamani kupenda kubaya, hebu muangalie binti huyu huko Marekani aliposhindwa kujizuia kwa mahaba ya Steven Gerrard na kuangua kilio cha mwaka


Ni ukweli ulio dhahiri kuwa mashabiki wengi wa soka huwa na kiu ya kukutana na wachezaji wao wanaowapenda,  lakini kwa binti mmoja ilionekana imezidi kiwango pale alipokutana na uso kwa macho na Steven Gerrard na kushindwa kujizuia kwa kulia kwa sauti na kububujikwa na machozi pasi na kuzuizi wala aibu.
Nahodha huyo wa Liverpool alikuwa akitia saini 'autographs' alipokutana na mashabiki hao huko ziarani nchini Marekani baada ya kusimama na kutoa nafasi ya kupiga picha kupitia simu za mashabiki wake yaani 'Selfie' hapo ndipo tafrani ilipoanza pale msichana huyo alipofyatuka na jineno zito mdomoni 'I love you' na kuzozomoa kilio kilichofuatiwa na machozi ya kumwaga.
Gerrard akaamua kuendelea na zoezi lake la kusaini 'autographs' za mashabiki wengine lakini bado msichana huyo akaendelea kusisitiza anataka kusainiwa pia kwenye simu nyingine yenye picha ya 'Steven Gerrard' kitu ambacho hakufanikiwa.
Wenzake waliokuwa naye walianza kuona kama burdani ambapo walitabasamu na kuondoka naye.
KIungo huyo mwenye umri wa miaka 34 ameweka historia ya kuwafanya mashabiki wake kulia ambapo iliwahi kutokea pia katika ziara ya mwaka jana barani Asia.
Selfie: The girl takes a picture of her and her hero, but doesn't seem able to enjoy the moment
Ma-Selfie na mashabiki: Hapa Gerrard ndipo alipozua kilio cha haja akipiga picha na shabiki wake mdada aliyezua kilio cha mwaka baada ya kumuona shujaa wake kiasi kumfanya kushinda kufurahia wasaa huo
Too good: The girl then cries even harder as she looks at the picture on her phone
Bomba sana: Binti baadaye akaangua kilio cha nguvu alipoiangalia picha aliyopiga na shujaa wake kwenye simu yake

 
Phone: The Liverpool captain signs a photo of himself on the back of her phone and she takes it up a level
Simu yangu yenye picha yako: Nahodha wa Liverpool asini picha yake nyuma ya simu.

Princeton: Gerrard and the Liverpool players were training ahead of their match against Manchester City

Princeton: Gerrard na wachezaji wa Liverpool walikuwa wakifanya mazoezi kabla ya mchezo dhidi ya Manchester City
Tears: The fan was inconsolable after the encounter, which only lasted a matter of seconds

Du! Michozi ya kumwaga: Huyu dada alikuwa anyamaziki licha ya kubembelezwa baada ya tukio

Selfie: A fan poses for a picture with Steven Gerrard, who made a quick exit after a girl started crying

Propositioned: Steven Gerrard meets a fan at Princeton University looking for more than just an autograph
Steven Gerrard anaendelea kukutana na mashabiki wake Princeton University ambao walikuwa wakitaka zaidi autograph