KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 21, 2014

Manuel Neuer bado kujiunga na Bayern Munich akiendelea kufurahia muda wa ziada mapumziko yake baada ya kuipa taji Ujerumani

Manuel Neuer akionyesha dole kwa mpiga picha wakati wa mapumziko yake nchini Ugiriki.
Golikipa wa mabingwa wa soka duniani Ujerumani Manuel Neuer anaendelea kufanya yake nje ya mpira wa miguu katika kumalizia mapumziko yake nchini Ugiriki akiwa na mpenzi wake Kathrin Gilch.
Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 28 ambaye ni golikipa bora dunia amepigwa picha akiwa na marafiki zake huko kisiwani Mykonos.
Kipa huyo wa Bayern Munich keeper pia ametumia fursa hiyo kupiga picha na mashabiki wake waliokuwepo kisiwani hapo

All smiles: Neuer takes time out to have photos with fans on Mykonos Island
Tabasamu: Neuer akipiga picha na mashabiki wake kisiwani Mykonos
Looking good: Neuer's girlfriend Kathrin Gilch spotted in a bikini on holiday
Mpenzi wake Neuer Kathrin Gilch ndani ya bikini mapumzikoni.
Kwasasa anaendelea kumalizia mapumziko yake ya mwisho baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Ujerumani kwa mafanikio na kuongezewa siku zaidi za kupumziko kabla ya kujiunga na kikosi cha klabu yake Bayern jijini New York nchini Marekani.

Drink up: Neuer enjoys a glass of Moet while on his phone in Greece
Neuer akipata kinywaji cha Moet na akiendelea kuperuzi simu yake huko Greece
Chilling: Neuer and Gilch chill in the sun during a break away in Greece
Chilling: Neuer na Gilch waki-chill juani wakati wa mapumziko yao.