KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 17, 2014

Muuaji wa Argentina Mario Gotze, ajipumzisha pwani ya Ibiza baada ya kukamilisha majukumu yake katika kombe la dunia

 Gotze akiwa na mpenzi wake Ann-Kathrin Brommel
Kwa Mario Gotze, maisha kwake yanamuendea sawa.
Akiwa ndio kwanza anarejea kutoka katika fainali ya kombe la dunia na akifunga goli la dakika za nyongeza muhimu lililo amua ushindi wa Ujerumani katika mchezo wa fainali ya kombe la dunia dhidi ya Argentina na kuipa taji la dunia, kiungo huyo mshambuliaji wa Bayern Munich alijitupa mapumzikoni akiwa na mpenzi wake Ann-Kathrin Brommel huko Ibiza.
Wawili hao walipigwa picha wakiwa wamepumzika na kwenye boti wakijiachia juani juu ya mgongo wa kiboti lichokikodisha.
Anastahili kula maisha katika kipindi hiki hususani baada ya kutimiza wajibu wake kwa kuiwezesha Ujerumani kuwa bingwa wa Dunia nchini Brazil, kula bata dogo.
Time to relax: Brommel joins her boyfriend as Gotze sunbathes on the boat in Ibiza
Muda wa kula bata: Brommel anaungana na mpenzi wake Gotze wakati wa kuota jua la ufukweni juu ya boti la Ibiza

Lavish: The pair were taking a break after all the excitement of winning the World Cup
Proud: Brommel was on holiday with Gotze after the Germany midfielder won the 2014 World Cup
Well earned: Gotze was relaxing in Ibiza, Spain, after scoring the decisive goal in the World Cup final
Spotted: Gotze was taking time off before returning to Bayern Munich after winning the World Cup
Gotze akitumia wasaa huu kabla ya kurejea katika klabu yake ya Bayern Munich baada ya kumalizika kwa fainali ya kombe la dunia.