KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, August 10, 2014

ARSENAL YATWAA NGAO YA JAMII MBELE YA MANCHESTER CITY: TAZAMA BAO LA GIROUD LILIVYOKUWA LA KUSISIMUA

Olivier Giroud wa Arsenal amefunga goli zuri la tatu katika kipindi cha pili katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester City mchezo wa ngao ya jamii mchezo uliuopigwa uwanja wa Wembley.
Santi Cazorla alifunga bao la uongozi la washika mitutu wa London dakika ya 21 kabla ya Aaron Ramsey kufuatia Yaya Sanogo kuangushwa.
Matokeo hayo yanawapa Arsenal mwanga mzuri mbele ya safari ya kuwania taji la ligi kuu ya England baada ya kutwaa ngao ya jamii.

Hili ndilo goli safi la Oliver Giroud