KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, September 16, 2014

Lionel Messi na Neymar kuvalia viatu ligi ya mabingwa Ulaya

Wengine akina Wayne Rooney, Neymar na Zlatan Ibrahimovic watakuwa wakivalia viatu vipya vya aina ya Nike
Lionel Messi will play against APOEL Nicosia in the new adizero F50s
Kampuni mbili kubwa za vifaa vya michezo za Nike na adidas zimepanga kuwapatia wachezaji wake viatu vipya kuelekea katika mchezo ya kwanza ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya makundi wiki hii.
Nyota wa Barcelona Lionel Messi atakuwa akivalia kiatu kipya cha 'adidas adizero F50s' wakati kikosi chao kitakapo kuwa kikikabiliana na APOEL Nicosia ya Cyprus hapo kesho Nou Camp.
Adidas imeviweka wazi viatu vipya vya Messi hii leo Jumanne kabla ya michezo ya leo kuelekea ligi ya mabingwa.
Lionel Messi poses with his new adidas adizero F50s boots ahead of Barcelona's match with APOEL Nicosia
Lionel Messi akiwa katika picha na kiatu kipya cha aina ya adidas adizero F50s kabla ya mchezo wa Barcelona dhidi ya APOEL Nicosia
The Barcelona star set up two goals for Neymar in his side's 2-0 home win against Athletic Bilbao
Nyota wa Barcelona Messi alitengeneza nafasi mbili za kufunga magoli kwa Neymar katika mchezo wa uwanja wa nyumbani ambao walishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao
The Brazilian star looks set to start against APOEL at the Nou Camp on Wednesday
Nyota wa Brazil akiwa na kiatu kipya kabla ya mchezo wa kesho dhidi ya APOEL uwanja wa Nou Camp
Neymar wanted the Nike Hypervenoms to 'enhance' his agility and give the star more time on the ball