KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, September 16, 2014

UNAWEZA KURUDIA TENA KUYAANGALIA MAGOLI MAWILI YA SANTOS JAJA WA YANGA ALIYOFUNGA KATIKA MCHEZO WA NGAO YA JAMII KATI YA YANGA NA AZAM FC

Mtandao wa Rockesports umeona ni vema kuweka magoli mawili ya Gelson Santos Jaja wa Yanga alitofunga katika mchezo wa ngao ya jamii kati ya Yanga na Azam fc.
Magoli hayo yamekuwa ni gumzo nchini kwasasa huku wadau wakiendelea kutafakari kama kweli uwezo wa Jaja katika kufunga magoli ni wa kipekee.