Makamu mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange kaburu akiwaongoza wachezaji wa wanachama wa Simba katika zoezi la shughuli za kijamii katika hospitali ya Mwananyamala leo(Picha Shafii blog) |
Picha hii ni msaada wa Shafii blog. Ezekiel Kamwaga mwenye chandarua pamoja wachezaji wa Simba katika zoezi la kugawa vyandarua hospitali ya Mwananyamala leo |
No comments:
Post a Comment