Fredrick Sumaye akihutubia |
Fredrick Sumaye akisalimia na wanamichezo wenye ulemavu |
Mkurugenzi wa BQ Constuction akiwahutubia wanamichezo |
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye jana aliyafunga mashindano ya tenisi kwa watoto wenye umri wa miaka nane hadi 18
na watu wenye ulemavu yaliyokuwa yakifanyika kwenye viwanja vya
Gymkhana ambayo yalidhaminiwa na kampuni ya BQ Constructiion.
Mashindano hayo yalishirikisha watoto toka kwenye mikoa ya Arusha, Morogoro na Dar es Salaam ambayo yalifana sana ambapo yamefana na washiriki walionyesha vipaji vya kucheza tenisi.
Akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Chama cha tenisi Inger Njau alisema kuwa wachezaji watakaoshinda wataiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika nchini Kenya mwakani.
Akizungumza na wanamichezo kabla ya kutoa zawadi waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye aliipongeza kampuni ya BQ kwa kudhamini mashindano haya hasa kwa watoto na watu wenye ulemavu na kwamba Mungu atapata thawabu.

"Mungu atakupa thawabu kwa kuwakumbuka watoto na watu wenye ulemavu kwani kutokana na jinsi nilivyochoka ingekuwa mashindano mengine nisingekuja".
Sumaye amewataka awataka wanamichezo hao kuongeza juhudi katika michezo yao kwani michezo ni sehemu ya ajira huku pia akiwataka BQ kuendelea kudhamini michezo hiyo na hata michezo mingine ili kuiendeleza sekta ya michezo nchini.
No comments:
Post a Comment