Happy couple: Neguesh na Mario Balotelli |
Inavyoonekana ni kwamba Real Madrid imepoteza matumaini ya kusonga mbele katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kufungwa kwa idadi kubwa ya mabo katika mchezo wa kwanza na Borussia Dortmund ya Ujeumani kwa mabao 4-1.
Kigogo hicho cha Hispania kilibamizwa jumla ya mabao 4-1 na Dotmund wiki iliyopita katika mchezo wa kwanza walipokutana Westfalenstadion, kichapo ambacho wengi wanakitazama kama ni vigumu kwa Madrid kukiepuka kutolewa.
Iliripotiwa jana kuwa Mario Balotelli ana uhakika kwamba vijana wa Jose Mourniho watashindwa kufidia idadi ya magoli wanayodaiwa na Borusia Dotmund ya Ujerumani na endapo watafanikiwa ata toa ofa ya usiku yeye na mpenzi wake kama zawadi.
All smiles: Mario Balotelli akiwa katika kiwango hapo ni baada ya kufunga kwa penati katika mchezo dhidi ya Catania usiku wa jumapili.
Love it: Fanny Neguesha akiwa na tattoo inaoonyesha mapenzi yake kwa mshambuliaji wa Italia.
Loved up: Balotelli na Neguesha mahusiano yao yamekua baada ya kuhama kutoka Manchester na kueleka Milan.
Magazeti ya Hispania ya AS na Marca,
yamenukuliwa yakisema
‘kama Real Madrid itaendelea na Champions League, nitawapa mepenzi wangu alale nao wote!’
Katika hatua nyingine katika taarifa iliyotolewa na klabu ya mshambuliaji huyo ya AC Milan asubuhi ya leo imekanusha juu ya mameno hayo kusemwa na nyota wao.
Taarifa hiyo imesema:
'AC Milan inakanusha taarifa hiyo iliyochapishwa leo kusemwa na Mario
Bolotelli kuhusiana na mchezo wa vilabu bingwa baina ya Real Madrid Borussia
Dortmund. AC Milan inasisitiza kwamba mchezaji huyo hajasema maneno hayo wala kutoa maoni kuhusu mchezo huo na gazeti lolote.'
Robert Lewandowski aliye wasambaratisha Real Madrid katika mchezo wa kwanza.
Alipoulizwa mwanamitindo huyo wa Belgium Fanny Neguesha, alishindwa kutoa maoni juu ya nukuu hizo za Baloteli magazetini.
Balotelli huko nyuma aliwahi kunukuliwa akizungumzia juu y mahusiano yake na Neguesha.
Katika mahojiano maalum na Vanity Fair, mshambuliaji huyo alisema menzi wake Neguesha ni msichana pekee anayemfanya ajisikie comfortable.
No comments:
Post a Comment