Gareth Bale akiwa na tuzo zake za PFA za mchezaji wa bora wa mwaka na mchezaji kijana wa mwaka. |
Zinedine Zidane anaamini kuwa vilabu vikubwa vya ulaya havita tatizwa na kiwango kikubwa cha ada ya uhamisho iliyotangazwa na Tottenham ya kumuuza mshambuliaji wake Gareth Bale kwa pauni milioni £60.
Zidane aliyewahi kushinda tuzo ya kombe la dunia na michiano ya Ulaya anaamini kuwa mchezaji huyo mwenye tuzo mbili za Uingereza za mchezaji bora wa mwaka jana na mchezaji kijana bora wa mwaka alikuwa na kiwango safi cha dunia mwaka huu na anamtabiria fo kubwa kubwa kuchomoza kwa ajili yake wakati wa majira ya kiangazi.
Lakini pia anaamini kuwa Bale mwenyewe ambaye ambaye ana magoli 24 ya msimu huu atataka kiasi cha kawaida ada ya uhamisho wake ambayo itakuwa ya kawaida kwa vilabu kama Real Madrid,
Barcelona, Manchester City na vinaginevyo vitaweza kumudu.
Zidane anasema
'Baada ya msimu bado atakuwa mchezaji kijana mwenye thamani kubwa duniani na uwamuzi wake wapi pa kwenda.
'Tottenham itaweza kutaja pauni milioni £40million, £50m, hata £60 kwa ajili ya mchezaji huyo. Ni kiasi kikubwa cha pesa -
lakini inawezekana kukawepo na vilabu zaidi viwili, vitatu mpaka vinne vitakavyoweza kulipa hiyo haitazuia kumfukuzia.
'Wanaweza kupata mchezaji bora wa Ulaya msimu huu na akiwa katika umri wa kuendelea kucheza soka kwa zaidi ya miaka mingine kumi. Ninacho kipenda kuhusu yeye ana kasi lakini pia akili ya mpira. Kitu hiki ni nadra kukiona.
Gareth Bale akifunga goli la kwanza Jumamosi iliyopita katika mchezo wa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Wigan.
No comments:
Post a Comment