KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, May 1, 2013

UKURASA WA MICHEZO KIMATAIFA.

Vilanova: Messi gives Barcelona reason to believe
Jupp Heynckes wants FC Bayern München kuthibitsha kuwa ushindi wa mchezo wa kwanza wa wiki iliyopita wa mabao 4-0 haukuwa wa kubabaisha haukuwa fluke, Tito Vilanova lakini hajakata tama kugeuza matokeo.
Kocha wa FC Barcelona Tito Vilanova anasisitiza kuwa kikosi chake kitapigana katika mazingira magumu yasiwezekana kugeuza matokeo hayo
Anasema leo wataweka rekodi au kuirejesha rekodi ya michuano ya UEFA Champions League anasema Vilanova .Kwasasa Messi yuko sawa zaidi ikilinganishwa na wiki iliyopitaBarcelona

Tito Vilanova, coach
tunahitaji kushinda huku tukicheza mchezo mzuri licha ya kwamba ni vigumu. Wachezaji wako makini na mchezo huo . sisi  FC Barcelona hatuutzami mchezo huu kuwa jicho la kupoteza tayari tunatazama kilicho mbele yetu kupigana mpaka mwisho na kuwafanya mashabiki wetu wajivunie timu yao.
Hatutacheza kwa mtazamo wa kufunga tu bali ni kwa kucheza soka safi tukiendelea rekodi yetu ya kucheza soka la kupendeza kuliko wapinzani wetu Bayern ikiwa ni pamoja na kuangalia uwezekano wa kupata bao la mapema.
Tunajua umuhimu wa messi hasa linapokuja suala la score magoli.
Weekend result
Saturday: Athletic Club 2-2 Barcelona (Susaeta 27, Hererra 90; Messi 67, Alexis 69)
Valdés; Alves, Piqué, Abidal (Adriano 46), Alba; Song; Xavi (Messi 59), Thiago Alcántara; Alexis (Iniesta 78), Fàbregas, Pedro.
• mwanzo waliaanza kwa kumpumzisha Lionel Messi eight minutes to extend his record of scoring in consecutive Liga appearances to 20 as Barcelona passed 100 league goals for the season. Their lead over Real Madrid CF at the summit now stands at 11 points with five games to go.
Team news
Javier Mascherano ataendelea kuwepo dimbani huku Jordi Alba baada ya kadi atasimama baada ya kadi ya mchezo wa kwanza nchini Ujrrumani ,Sergio Busquets kunamashaka kufuatiaa maumivu wakatia mbapo Adriano atakuwepo na Vilanova kitaacha wachezaji wawili tu sehemu ya ulinzi
Bayern
Jupp Heynckes, coach
Barcelona ni timu bora duniani tumejiandaa vilivyo wanaweza kufanya mambo makubwa wakiwa Camp Nou na tunataka kuepuka hilo.
Tutacheza kama tulivyocheza Munich, attacking, playing to score –hebu tuone nini kitatokea hatutacheza mchezo wa kujilinda licha ya kwamba tuna timu yenye kiwango cha juu katika sehemu ya ulinzi.
Barcelona have played at such a high level for so many years, world-class football, with a player like Messi, now with a new coach, fantastic club, marvellous football. Messi is the best in the world, extraordinary for his talent and because of his behaviour on and off the pitch. He is fitter than he was in Munich, so he will make things a lot more difficult for us
Weekend result
Saturday: Bayern 1-0 SC Freiburg (Can 35)
Starke; Rafinha, Van Buyten, Boateng, Contento; Tymoshchuk (Javi Martínez 84), Luiz Gustavo; Shaqiri, Can (Ribéry 74); Mandžukić (Gomez 74), Pizarro.
• Heynckes alifanya mabadiliko kwa wacheza 10 ukilinganisha na kikosi kilichocheza dhidi ya Barcelona,akimuacha Jérôme Boateng katika nafasi yake
Match fact
• Heynckes is one of only three coaches whose team failed to defend a four-goal first-leg advantage in UEFA competition. He was in charge of the VfL Borussia Mönchengladbach ambao waliwachapa Real Madrid CF 5-1 nyumbani katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa michuano ya EUFA msimu wa 1985/86 UEFA Cup third round, only to lose the return 4-0.

 Jose Mourinho: Real Madrid manager hints at summer exit
Jose Mourinho anasema hawezi kusalia kuwa kocha wa Real Madrid msimu ujao na anajionga kuelekea sehemu ambayo anaamini kuwa watu wanamkubali.
Amekuwa akihusishwa na kurejea nchini England.
"I know in England I am loved. I know I am loved by some clubs, especially one."
Lakini amesistiza kuwa atasubiri mpaka kumalizika kwa kapmeni kabla ya kuaamua hatma yake

Everton's Victor Anichebe puts Nigeria career on hold
Mshambuliajiwa Everton Victor Anichebe ameliweka soka lake la kimataifa katika hali ya mguu ndani mguu nje .
Mzaliwa huyo wa Lagos mweney miaka 25, amesema hataki kulifikiria soka katika timu ya taifa.
Alikuwa akifikiriwa kurejea katika timu ya taifa mwezi june kwa ajili ya michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia na michuano ya Confederations Cup, akichukua nafasi ya Emmanuel Emenike ambaye ni majeruhi.

Sunderland appeal over Stephane Sessegnon red card fails
Sunderland itamkosa Stephane Sessegnon kwa michezo yao yote iliyosalia ya ligi baada ya kushindwa rufani yao kusimamishwa kwa michezo mitatu..
Itakumbukukwa alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Yacouba Sylla jumatatu katika mchezo ambao walichapwa kwa bao 6-1 na Aston Villa.
Sasa atawakosa Stoke na Southampton na mchezo mwingine wa ugenini dhidi ya Tottenham.

No comments:

Post a Comment