Mshambuliaji wa Yanga Jerryson Tegete akishangilia bao lake la pekee alillofunga kipindi cha kwanza akiwa na Said Bahanuzi. |
Nizar Khalfan wa Yanga akiwa amebanwa vilivyo na mdogo wake Razack Khalfan wa Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa taifa, timu hizi zilitoka sare 1-1 |
Baadhi ya vikombe vilivyokuwepo uwanjani leo, hata hivyo vilishindwa kushehekewa vema baada ya Coastal Union kusawazisha |
No comments:
Post a Comment