Uefa imetaka sehemu ya uwanja wa CSKA Moscow kufungwa katika mchezo ujao wa ligi ya vilabu bingwa matumizi ya lugha ya kibaguzi wa rangi dhidi ya kiungo wa Manchester City Yaya Toure.
Klabu hiyo ya nchini Urusi imekumbwa na adhabu hiyo baada ya Toure kulalamika juu ya dhihaka hiyo katika mchezo wa ushindi kwa timu yake wa mabao 2-1 Oktoba 23.
Sehemu ya uwanja wa Arena Khimki itafungwa wakati watakapo kuwa uwanjani dhidi ya Bayern Munich Novemba 27.
Uefa's sanctions against clubs for racist behaviour this season
- Full stadium closures: Dinamo Zagreb of Croatia, Legia Warsaw of Poland and Honved of Hungary
- Partial stadium closures: Lazio (originally handed a full stadium closure that was reduced on appeal), Polish clubs Lech Poznan and Piast Gliwice, APOEL Nicosia of Cyprus and Croatian outfit HNK Rijeka.
CSKA imekanusha hilo kutokea kwa Toure.
Bodi ya uongozi ya Eufa imetoa adhabu hiyo kufuatia kusikiliza shauri hilo mjini Switzerland chini ya bodi ya bodi ya nidhamu na udhibiti ya shirikisho hilo
No comments:
Post a Comment