Rais wa Lazio Claudio Lotito amewakoromea baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo ambao wamehoji matokeo ya timu hiyo kupoteza mchezo dhidi ya Juventus jumamosi.
Kichapo hicho kwa Bianconeri kimewafanya wapinzani wao wakubwa Roma katika msimao wa ligi wameachwa mbali zaidi na kibibi kizee cha Turin katika nafasi ya juu ya msimamo wa Serie A, na kupelekea mashabiki wa klabu hiyo maarufu kama Biancocelesti kulalamikia matokeo hayo.
No comments:
Post a Comment