Alexis Sanchez anatarajiwa kuwasili jijini London alhamisi kukamilisha mpango wa uhamisho wenye thamani ya pauni milioni £30 wa kujiunga na Arsenal.
Mshambuliaji huyo wa Barcelona atasafiri kuelekea huko akitokea nchini Hispania kukamilisha mpango huo ikiwa nia pamoja na kumalizia mambo ya maslahi yake binafsi na kufanyiwa vipimo vya afya yake.
Taarifa zinasema kuwa vipimo vya afya vitafanywa hapo kesho Ijumaa
Alex Sanchez anatua rasmi Emirate baada ya kumaliza mapumziko yake ya muda nchini Hispania. |
No comments:
Post a Comment