Huenda “Goal-line technology” kupata
ridhaa hii leo
Mpango wa
matumizi ya Goal-line technology sasa unaelekea kupitishwa kwake pale ambapo
bodi ya soka ya kimataifa (IFAB) itakapo fanya maamuzi usiku huu .
Matokeo ya
majaribio yatasikilizwa kabla ya IFAB kupata uhakiki wa mifumo miwili ya Hawk-Eye
na GoalRef.
Mfumo wa Hawk-Eye unafanyaje kazi ?
Mfumo wa Hawk-Eye
unafanya kazi kwa kutumia jumla ya kamera sita kwa goli moja ambazo zitakuwa
zote zinafuatilia mpira mmoja uwanjani.
The system's
software itatumia "triangulation" ili kubaini eneo ambalo mpira huo
ulipo.
endapo mpira
utavuka mstari hapo ndipo saini ya sauti itatuma kiashirio katika saa ya
mwamuzi kuwa goli limefungwa.
kwa mujibu
wa mahitaji ya fifa ni kwamba mchakato mzima unapaswa kuchukua si zaidi ya
sekunde moja kukamilika.
Mfumo wa GoalRef unafanyaje
kazi ?
Mfumo huu wa
GoalRef unatumia microchip ambayo inawekwa ndani ya mpira na kutumia waves za
sumaku kidogo mpira unapokuwa katika eneo la goli .
mfumo huu
unatabiri na kubadili magnetic field
katika eneo la goli au nyuma ya mstari wa goli na kubashiri mpira kuvuka mstari.
mchakato huo
mzima unapaswa kuchukua chini ta sekunde moja na ujumbe kumfikia mwamuzi.
mahitaji ya matumizi ya goal-line technology yaliongezeaka mara dufu baada ya Ukraine kukataliwa
goli la kusawazisha dhidi ya England katika Euro 20
No comments:
Post a Comment