Fainali za
soka za mtaifa ya Afrika mwakani zinatarajiwa kuwa ni fainali za kwanza
kufanyika katika mwaka usio gawanyika kwa mbili tangu kuasisiwa na Ethiopia katika mwaka unaogawanyika kwa mbili mwaka 1968.
Mashindano
hayo yalihamishiwa katika miaka isiyo gawanyika kwa mbili kuanzia mwaka 2013 kuepusha
mgongano wa michuano hiyo kufanyika mwaka mmoja na miaka ambayo fainali za
kombe la dunia imekuwa ikifanyika.
Shirikisho
la soka barani Afrika inatarajia kufanya draw ya michezo ya mzunguko wa
mwisho kwa ajili ya kufuzu Afcon draw ambayo inafanyika leo nchini Afrika
kusini.
Wawakilishi toka
mataifa yote yatawakilishwa katika draw katika mgahawa mmoja karibu na uwanja wa ndege wa jiji
la Johannesburg OR Tambo international airport.
Mbali na
kufanya shughuli hiyo kutakuwa pia draw nyingine tofauti na hiyo kuamu ni nani
atakuwa na faida ya kupata mchezo wa kwanza wa kuanzia nyumbani na mzunguko wa kwanza
michezo yake ikipangwa kufanyika kati ya September 7-9 na mingine October 12-14
mwaka huu.
The seeded teams are Algeria, Angola, Burkina Faso,
Cameroun, Cote d’Ivoire, Gabon, Ghana, Guinea, Guinea Equatorial, Mali, Morocco,
Nigeria, Sudan, Tunisia and Zambia.
The teams not seeded are Botswana, Cape Vert, Central Africa,
Ethiopia, Liberia, Libya, Malawi, Mozambique, Niger, DR Congo, Senegal, Sierra
Leone, Togo, Uganda and Zimbabwe.
Mshindi wa
mzunguko huu wa tatu atakuwa amefuzu kucheza Afcon mwakani nchini Afrika kusini
kuanzia January 19.
No comments:
Post a Comment