Chelsea make
move for midfielder Marco van Ginkel
Chelsea imekuwa
na mazungumzo na kiungo wa Vitesse Arnhem Marco van Ginkel juu ya kumpeleka
Stamford Bridge.
Kiungo huyo
mwenye umri wa miaka 20 amekutana na baosi wa Blues Jose Mourinho na anatarajiwa
kurejea udachi alahmaisi ambapo mazungumzo yatafanyika.
Marco van
Ginkel alijiunga na Vitesse Arnhem alipokuwa na umri miaka saba na
kuendelelezwa kakatika kituo cha kulelea vipaji. Alianza kucheza ndani yaklabu
hiyo mwezi April 2010 na kuanza
kulitumika taifa mwezi novemba mwaka jana.
Van Ginkel's
main concern is over how much first-team football he would get.
Thamani yake
ni pauni £8m.
Steve
McClaren joins Queens Park Rangers in coaching role
Meneja waq
zamani wa England Steve McClaren amejiunga na Queens Park Rangers kama kocha chini ya bosi Harry
Redknapp.
McClaren
mwenyer umri wa miaka 52 amekuwa nje ya kazi tangu aliondoka katika klabu ya FC
Twente ya udachi ya uholanzi mwezi February.
QPR ilishuka
daraja mwezi May na Redknapp ameondosha uvumi kuwa alikuwa akitakiwa kuondoka
ndani ya klabu hiyo kwasasa Redknapp anataka kunoa safu yake ya makocha kwa
kumuongeza McClaren ambapo atakuwa na mzoefu mwingine Kevin Bond pamoja na Joe
Jordan.
Kolo Toure:
Liverpool sign Manchester City defender
Liverpool imekamilisha
usajili wa mlinzi wa Manchester City Kolo Toure.
Mlinzi huyo
mwenye umri miaka 32 wa Ivory Coast anajiunga na Anfield kwa miaka miwili baada
ya mkataba wake na Etihad kumalizika.
Toure ameitumikia
City kwa michezo 102 baada ya kujiunga nayo akitokea Arsenal kwa uhamisho
uliogharimu pauni milioni 14m July 2009 na alikuwa ni sehemu ya timu ya City iliyotwaa
taji la Premier League in 2011-12.
Christopher
Samba: QPR agree £12m fee with Anzhi for defender
QPR imekubali
ada iliyohitajika ya pauni milioni £12 kwa ajili ya kumuuza mlinzi wake Christopher
Samba kurejea Anzhi Makhachkala.
Klabu hiyo London
ya kaskazini ilimchukua mchezaji huyo wa zamani wa Blackburn kutoka nchini
Urusi mwezi January kwa ada ya pauni milioni £12.5.
Samba ameichezea
klabu yake michezo 10 msimu uliopita na kuisaidia Rangers kuepuka kushuka
daraja kutoka ligi kuu ya England.
Bosi wa QPR Harry
Redknapp ametanabaisha kuwa klabu yake imekataa "massive offer" kwa
ajili ya samba kabla ya dirisha la usajili la Russian kufungwa mwezi February.
Paulinho: Tottenham's Brazilian
target will leave Corinthians
Kiungo wa Brazil
José Paulo Bezerra Maciel Júnior, Paulinho anatarajiwa kujiunga na Tottenham kwa
ada ya uhamisho ya pauni milioni £17 ambapo mchezaji huyo mwenyewe amesema
anataka kuondoka katika klabu yake ya Corinthians.
Mwezi uliopita
Paulinho alisema Spurs amekuwa ikimtaka na angeamua hatma yake baada ya
miochuano ya Confederations Cup kumalizika.
Full name:
Jose Paulo Bezerra Maciel Junior
Born: 25
July 1988
Club:
Corinthians
Brazil caps:
17
Brazil
goals: 5
Kiungo huyo
mwenye umri wa miaka 24 ameifunga jumla ya mabao 34 katika jumla ya michezo 167
aliyoicheza na alikuwa ni miongoni mwa wachezaji aliokuwepo katika mchezo wa
ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Hispania hivi karibun.
Real Madrid pia
imeonyesha nia lakini anatarajiwa kujiunga na White Hart Lane.
No comments:
Post a Comment