KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 3, 2013

REAL MADRID WAKATA TAMAA YA KUNASA SAINI YA BALE.

No Real deal: Madrid have conceded defeat in their bid for Bale this summerGareth Bale
Real Madrid imeshindwa vita ya kumsajli Gareth Bale majira haya ya kingazi hizi zikiwa ni taarifa ambazo zimeripotiwa nchini Hispania hii leo.

Lakini mabingwa hao mara tisa wa ulaya wanatarajiwa kuongeza nguvu kwa ajili ya winga winga hatari Tottenham msimu ujao.

Watu wengi waliojenga majina ndani ya Real Madrid akiwemo kocha msaidizi mpya Zinedine Zidane na Rais  Florentino Perez wameonekana kuonyesha kiu yao ya kumchukua winga huyo hatari wa Wales na kujiunga nao Bernabeu.

Hata hivyo kupitia gazeti la Marca,ambalo limekuwa likiandika na hata kyuonekana kuwa likizungumzia habari za klabu hiyo limetanabaisha kuwa kigogo hicho cha Hispania kimekata tamaa kunasa saini ya winga huyo na kwamba wanajipanga kwa msimu ujao.

'Real Madrid imeamua kusimama juu ya mpango wa Gareth Bale baada ya kupokea kwa mara nyingine tena neno HAPANA kutoka kwa Tottenham Hotspur, Florentino Perez na timu yake wameamua kujipanga kumsajili Bale baadaye kwani kwa sasa haiwezekani.

'Daniel Levy Rais wa Tottenham hayuko wazi juu ya mazungumzo juu ya kijana huyo na hanyumbuliki kufikia makubaliano.'

No Bale out: It now looks more likely that the Wales star will stay at Spurs
Inavyoonekana kwasasa winga Bale atasalia Spurs


However, Madrid are hopeful that they will succeed in 12 months’ time and will make a stronger attempt to buy the 23-year-old then.
The article in Marca added: 'He is content to stay for another year in England, despite the fact that his club will not be taking part in the Champions League. He says that he’s very thankful to Tottenham and that he’s happy where he is.
'Bale has no release clause, will not be making a transfer request, and considers that, being only 23, he has time enough to make the jump into the big time. And when that happens, he wants it to be with Los Blancos.'
New look: Tottenham and Wales star Gareth Bale is featured in the latest issue of Esquire
New look: Tottenham and Wales star Gareth Bale is featured in the latest issue of Esquire
Bale has three years remaining on his contract and has been offered an improved deal worth £130,000 a week. But the Madrid strategy has echoes of the pursuit of Cristiano Ronaldo.
They failed in their attempt to sign him from Manchester United in 2008 but went back in 2009 with a record £80m bid and got their man.
But Ronaldo has admitted he misses English football, telling Sky Sports: 'I really miss English football. For me, it was some of the best years when I was there, everyone knows that. Manchester United is still a club that is close to my heart.'
However, he also says he enjoys life in Madrid, adding: 'Now my life in in Spain and I have enjoyed playing there too. Part of my life is there but in the future we never know. I am really, really happy in the Spanish league.'
We meet again: Ronaldo faced Manchester United for Madrid last season and was given an ovation
We meet again: Ronaldo faced Manchester United for Madrid last season and was given an ovation

No comments:

Post a Comment