KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, October 16, 2013

Wojciech Szczesny anasema kikosi cha Roy Hodgson kipo vizuri baada ya shughuli ya kuzuia micho ya akina Rooney.

England can win World Cup, says Szczesny
Wojciech Szczesny wa Poland alikuwa na wakati mgumu dhidi ya England
Mlinda mlango wa Arsenal Wojciech Szczesny amesema England inaweza kushinda kombe la dunia endapo itaendelea kucheza kama ilivyocheza hapo jana na kuibuika na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Poland.
Mlinda mlango huyo namba 1 alikuwa bize hiyo jana katika uwanja wa Wembley, kuzuia michomo mingi wakati kikosi cha Roy Hodgson’ kikiichapa Poland na kuwaweka pembeni ya njia yao ya ungozi wa kundi H na kujihakikishia njia ya kutinga katika fainali zijazo ya kombe la dunia nchini Brazil.

Licha ya kiwango safi, bado matumaini ya kufanya vizuri kwa kikosi hicho katika fainali hizo yanasalia kuwa na wasiwasi lakini Szczesny anaona inatosha kumshawishi Waingereza kuwa kikosi hicho cha Roy Hodgson kinaweza kushinda taji la kwanza la michuano hiyo tangu mwaka 1966.

‘They can go all the way,’ he insisted. ‘I thought offensively England were fantastic.

England ni wazuri katika safu ya ulinzi na endapo wataendelea na kujiimarisha kiasi kwa hakika wanaweza watakuwa na nafasi ya kufanya vizuri kama watakwenda na mwenendo huo walioutumia kutuchapa.
Mlinda mlango huyo amesema anaamini England itakuwa ni moja ya timu ambazo zinapewa nafasi ya kutwaa taji.
England can win World Cup, says Szczesny
Wojciech Szczesny akiongea na mchezaji mwenzake wa Arsenal Jack Wilshere.
‘Walitafuta nafasi nyingi kitu ambacho kilikuwa kizuri kwa upande wangu ikiwa ninamaanisha kuwa niliokoa micho miwili takatifu lakini pia nimehuzunishwa na matokeo kwa upande wetu.’

No comments:

Post a Comment