Alama kuu ya soka la nchini Ujerumani ambaye ni mchezaji nyota wa zamani nchini Ujerumani Franz Beckenbauer anaamini kuwa Borussia Dortmund hawana nafasi ya kushinda taji la ligi kuu ya soka nchini Ujerumani Bundesliga msimu huu.
BVB walikuwa wakitarajiwa kutoa changamoto ya kuwania taji msimu huu dhidi ya Bayern baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwa tofauti kubwa ya alama 25 dhidi ya wapinzani wao hao wakubwa katika msimu wa 2012-13, bado wanaonekana wakisumbuka na matokeo mazuri mpaka nusu ya msimu huu unamalizika.
Kikosi cha kocha Jurgen Klopp kwasasa kiko katika nafasi ya tatu wakiwa na alama 31 baada ya kushuka dimba kwa michezo 15 wakiwa nyuma ya vinara Bayern kwa alama 10 ambapo Beckenbauer anaona aghalabu Bavarians kuwafikia Munich kwa umbali huo.
"I really cannot imagine Bayern giving away a 10-point lead over Dortmund," Beckenbauer told Bild.
Dortmund kwasasa wanawakosa wachezaji wao muhimu wa kikosi cha kwanza kama vile Mats Hummels, Neven Subotic, Marcel Schmelzer Ilkay Gundogan.

No comments:
Post a Comment