KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 16, 2014

Uchafu wa wachezaji wa Uholanzi: Rafael van der Vaart ajiweka kwa mke wa mchezaji mwenzake wa Uholanzi Khalid Boulahrouz na kula bata naye mwanzo mwisho

Cheers: Sabia na Rafael wakifurahia kinywaji wakati wakifurahia jua la ufukwe wa St Tropez kusini ya Ufaransa

Kiungo wa zamani wa Spurs Rafael van der Vaart amelazimika kuweka pembeni maumivu ya kukosa michezo ya kombe la dunia kutokana na kuwa majeruhi wa msuli na kujipa raha ya dunia kwa kukodi kiboti akiwa na mke wa zamani wa mchezaji mwenzake Khalid Boulahrouzke, Sabia Boulahrouz huko St Tropez.
Wawili hao wamekuwa wapenzi tangu Septemba 2013 baada ya Rafael  kuvunja mahusiano na aliyekuwa mke wake Sylvie, na kuungana na Sabia ambapo walikutwa katika ufukwe wa St Tropez ulioko kusini ya Ufaransa akifurahia miale ya jua la ufukwe huo.
Sabia ni mke wa zamani wa mchezaji wa Uholanzi Khalid Boulahrouz ambaye kwa pamoja na Rafael waliwahi kuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uholanzi wakati huo Sabia akiwa na Khalid Boulahrouz.
 Khalid Boulahrouz, hivi karibuni amesaini kujiunga na Feyernoord ya  Uholanzi akitokea Brondby.
Khalid Boulahrouz akiwa na Sabia enzi za mapenzi yao.
Khalid Boulahrouz na Sabia.
Rafael na Sabia walipigwa picha ufukweni St Tropez akifurahia jua la ufukwe huo ambapo kiungo huyo wa Hamburg alionekana akionyesha umahiri wake wa kupiga mbizi.
Van der Vaart alitarajiwa kuwemo katika kikosi cha meneja wa Uholanzi Louis van Gaal kwa ajili ya fainali ya kombe la dunia lakini alijikuta nje ya kikosi hicho kufuatia maumivu ya msuli.
Dutch roots: The boat the couple were on is from Van der Vaart's homeland Holland
Boti walilokuwa wakilitumia Van der Vaat na mpenzi wake lilikuwa ni kutoka nchini kwao Uholanzi

Enjoying the sun: Van der Vaart and Sabia Boulahrouz catch some rays in Saint Tropez
Van der Vaart na Sabia Boulahrouz ndani ya Saint Tropez

Playful: Van der Vaart pulls Sabia off the boat and into the water
Van der Vaart akimvuta mpenzi wake kwenye maji


Technique: The talented playmaker prepares to dive from the boat into the sea

Kiungo huyu kumbe ni mahiri wa kupiga mbizi, hapo anajianda kupiga mbizi kutoka kwenye boti.