Manchester
United inafiria kutenga kiasi cha fedha kwa ajili ya kumrejesha kundini
mshambuliaji wake wa zamani Cristiano Ronaldo aliyeko Real Madrid.
Cristiano
Ronaldo alikosekana katika mazoezi ya alhamisi kufuatia kuwa katika hali ya
maumivu’
Kumekuwepo na
tetesi nzito nchini England hii leo kuwa huenda mshambuliaji huyo akarejea Old
Trafford,huku gazeti la kidaku la The Sun likiripoti kwa kina juu ya taarifa
hizo.
Mwezi januari
kulikuwepo pia taarifa kama hizi ambazo zilisema kuwa endapo United itataka
kupata tena huduma ya Ronaldo basi itabidi wavunje kibubu jambo ambalo limeanza
kuonyesha dalili..
Kinachotazwa
zaidi na United ni juu ya gharama za uhamisho wa mshambuliaji huyo sambamba umri
wake wa sasa ambapo kwasasa wanajaribu kufidia madeni ili kwenda sambamba na
sera ya kupunguza madeni ya UEFA ya financial policy.
Kufuatia
kundi la familia ya Glazer kuonyesha ukali lakini pia kufuatia kuwepo na
mkataba mnono wa matango katika ligi ya League na wakichagizwa pia na mikataba
ya wadhamini wakubwa ndani ya klabu hiyo, hivyo basi United inatarajia kutoa
bajeti kubwa kiangazi hii pengine zaidi ya pauni milioni £20 zaidi ya misimu yote
tangu mwakam 2007.
Ada ya Ronaldo
inatazamwa huenda ukafikia kati ya pauni milioni £50 mpaka £70.
Klopp: Lazima tuonyeshe busara
Dortmund
prepare to defend 4-1 lead against Real
Jurgen Klopp anasema vijana wake wa Borussia
Dortmund hawata freeze katika mchezo wao dhidi ya Real Madrid licha ya kuwepo
kwa ‘historic nature’ ya michuano ya hiyo hasa katika hatua kama hiyo ya nusu fainali
"katika soka lolote linaweza
kutokea mambo ya kutengeneza historia pia huenda yakajitokeza hivyo basi
anasema wao kutinga fainali ni historia pia na kama watatolewa pia hiyo itaweka
historia pia. Kubwa kwao ni kuutazama mchezo huo.
"msimu uliopita tulikuwa
wapinzani wakubwa wa Bayern Munich. Walitaka kutufunga katika fainali ya DFB-Pokal,
walitaka kutufunga msimu mzima . Vijana wangu imetulia kwasasa .
Kehl: Madrid wanahitaji miujiza
Nahodha wa Borussia Dortmund Sebastian
Kehl amesema Real Madrid wanatakiwa "wa-create a miracle" kuwazuia
wajerumani kutinga fainali ya Champions League.
But despite being wary of their
cornered foe, Kehl is confident Dortmund are "ready for anything."
"They will try everything, they
want to create a miracle," the 33-year-old told reporters.
Baada ya QPR kushuka wapi muelekeo wa Cesar
Hatma ya Julio Cesar bado
haijaeleweka ikiwa ni pamoja na kuwepo wa uwezekano wa kurejea kwa Brazil hii
ikiwa ni kauli ya wakala wa mlinda mlango huyo wa timu iliyoshuka daraja ya Queens
Park Rangers.
Cesar ana umri wa miaka 33, alisaini
mkataba wa kudakia QPR akitokea Inter Milan kiangazi iliyopita na tangu wakati
huo ameichezea klabu hiyo kwa michezo 24 ya ligi ya Premier ambapo alifanya
kazi nzuri licha ya kushuka daraja msimu huu.
Wakati QPR ikishuka kumwekuwepo na
tetesi juu ya mlind mlango huyo pamja na wakali wengine wa klabu hiyo akiwemo
Cesar.
Carragher sasa kustaafu rasmi soka.
Mlinzi wa Liverpool Jamie Carragher amethibtisha
kuwa ataastaafu mwishoni mwa msimu na kuanza kazi ya kuwa mchambuzi wa soka kwa
njia ya TV na hivyo kumaliza ndoto za Brendan Rodgers kumshawishi kuendelea
kucheza soka.
Carragher amecheza jumla ya michezo 734
katika klabu yake katika kipindi cha miaka 16 ndani ya Anfield, ambapo sasa
atajiunga na Sky Sports mwezi August.
Wiki mbili zilizopita Rogers
alikaririwa akisema ana mapango wa kumsajili mlinzi huyo ambaye kwasasa ana
umri wa miaka 35.
Kiangazi iliyopita alifikiri kuacha
soka ambapo moja kati ya kazi aliyoifanya Rodgers alipochukua nafasi ya
mtangulizi wake Kenny Dalglish ilikuwa ni kuhakikisha ana mpa mkataba wa mwaka
mmoja..
Carragher alicheza mchezo mmoja katika
nusu ya kwanza ya msimu huu kabla ya Christmas ambapo Rogers alikuwa akiwatumia
sehemu ya ulinzi Martin Skrtel Daniel Agger kama partnership katika ulinzi.
Mashabiki wa AC Milan wapigwa faini kwa kumtusi Zanetti
AC Milan imepigwa fainai ya euro €8,000
kufuatia mashabiki wake kumtusi Javier Zanetti wa Inter Milan.
Inter's Zanetti alikuwa akitolewa
nje kwa machela kunako dakika ya 17 ya mchezo ambao Inter walifungwa kwa goli
1-0 na Palermo ambapo aliumia msuli mkubwa wa kifundo chan mguu.
Baadaye jumapili mashabiki wa AC
Milan wakasikika wakiimba 'Javier Zanetti jump with us' wakati wa mchezo
walioshinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Catania.
Zanetti, 39, sasa huenda akafanyiwa
upasuaji ambao bila shaka utakuweka nje ya uwanja kwa miezi na mawazo ni kwamba
huenda ikamaliza maisha ya soka lake.
Rais wa Inter Massimo Moratti amesema:
"It's very sad and I feel
really bad for him.
"I spoke to him straight after
the injury happened. But with his character he'll be back, there is no doubt
about it.
"The fans can't think they
won't see him again. They will and he will be back playing his best."
No comments:
Post a Comment