Sudan ambayo mpaka kufikia mapumziko walikuwa wakiongoza kwa bao 1-0 bao lililofungwa na Salah Ibrahim kutokana na shambulizi zuri imekuwa ni timu ya kwanza kutinga robo fainali ya michuano ya Chalenji wa CECAFA.
Akitumia faida ya mpira uliopotezwa na mlinzi Ismael Nshutiyamara, Sahah Ibrahim haraka aliukamata mpira huo na kupiga mpira mrefu ulikwenda chini kidogo ya mwamba wa juu akiwa umbali wa yadi 30 mchezo ukipigwa katika uwanja wa nyasi bandia wa Nairobi City.
Sudan watamaliza ratiba ya makundi dhidi ya Uganda ilhali Rwanda wakijipanga kumaliza dhidi ya Eritrea katika mchezo unaofuata.
Vikosi
SUDAN:
Abderahman Ali (1), Hamoda Bashir (4-Capt),
Ismail Elsiddg (8), Elayah Ali Maki (6), Malik Mohammed (5), Amier Kamal
(19), Nazar Hamid (13), Mohammed Tahir (10), Eltahir Elhag (2), Faris
Abdalla (3), Salah Ibrahim (12)
Coach: Mubarak Suliman (Sudan)
RWANDA:
Jean Luc Ndayishimiye (GK), Niyonzima
Harunah (8 - Captain), Nshutiyamagara (13), Bayisenge Emery (13),
Ngirisnshuti Mwemere (3), Omborenga Fitina (18), Jean Baptiste
Mugiraneza (7), Kagere Meddie (5), Mohammed Mushimiyimana (10), Jacques
Tuyisenge (11), Cyiza Hussein Mugabo (17)
Coach: Eric Nshimiyimana (Rwanda).
SUBSTITUTES:
Rwanda: Ndori Jean Claude (GK), Tubane James
(19), Abouba Sibomana (4), Fabrice Twegizimana (6), Michel Ndahinduka
(9), Michel Rusheshangoga (2), Andrew Butera (14), Iranzi Jean Claude
(16)
Sudan: Muner Elkhair (GK), Ali Hussein (15),
Nadir Eltayeb (11), Miaaz Abdelrahim (18), Muhammed Abdelmonem (9),
Mugahid Faroug (17), Idriss Suleima (14) and Mohammed Abdelkarim (7)
Referees: Davies Omweno (Kenya), Mussie Kinde (Ethiopia), Tony Kidiya (Kenya)
4th Official: Anthony Ogwayo (Tanzania)
Match Commissioner: Al Haji Ndolanga (Tanzania)
Referees Inspector: Tesfaye Gabreyesus (Eritrea)
Media Officers: Rogers Mulindwa (Uganda) and Badri Bakheit (Sudan)
No comments:
Post a Comment