KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, December 2, 2013

PHOTOS: BONGO MOVIE YAICHAPA BONGOFLEVA MAGOLI 3-2, ANGALIA PICHA ZA MASTAA MBALIMBALI.

Richie na Jb

Jana kulikuwa na mechi kati ya wasanii wa Bongo movie na wale wa Bongofleva katika viwanja vya TTC Chang'ombe huku Bongofleva ikiishia kunyukwa magoli 3 kwa 2. Mastaa mbalimbali kama vile Ray, Richie, Jackline Wolper, H.Baba , Abdul Kiba, KR Mullah, JB, Baba Haji, Efranciah Mangii, Shamsa Ford, Cloud na wengineo walikuwepo kwa ajili ya kunogesha issue hiyo.

Timu ya Bongo movie
Timu ya Bongofleva
JB anaongoza zoezi la kupasha viungo kwanza kabla ya kipute kuanza rasmi
Sidhani kama ingewezekana Cloud kumruka JB kweli Kitambi noma.
Kupa na wenzake
JB huyoooooooo.................Cloud pembeni
Wachezaji wa Bongo Fleva KR na Abdul Kiba
Kazi kwelikweli mimi naona hizi kazi zinalipa sana namna hii. Badra Idabu na Efranciah
 

No comments:

Post a Comment