Mshambulia
raia wa Brazil Rafael amekubali kendelea kuitumikia klabu yake ya Manchester
united wakati ambapo kaka yake Fabio akiwa njiani kuelekea QPR kwa mkopo
kuengeza uzoefu.
Mlinzi huyo
wa pembeni wa Manchester United Rafael Da Silva amesaini mkataba mpya utakao
muweka Old Trafford mpaka 2016 hizi zikiwa ni taarifa toka kwa wakala wake.
Mshambuliaji
huyo mwenye umri wa miaka 21 ambaye alijiunga na United akitokea Fluminense mwaka
2008 ameichezea United michezo 12 msimu uliopita na kuitumikia timu ya taifa
mwezi May kufuatia majeruha yaliyokuwa yanamsibu Dani Alves.
No comments:
Post a Comment