KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, November 4, 2012

WAKATI SIMBA AKITAFUNISHWA MIWA KULE MANUNGU, YANGA WANASEMA TUKUTANE TENA BAADAYE

Mshambuliaji wa Yanga Didier Kavumbagu akijaribu kupiga mpira langoni mwa Azam akiwa chini ya ulinzi wa walinzi wa Azam Aggey Moris kushoto na Saidi Moradi Kulia.
Didier Kavumbagu akishangilia kwa style ya aina yake bao la Hamisi Kiiza.
Mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza akishangilia goli la pili alilofunga katika mchezo dhidi ya Azam hii leo huku wachezaji wenzake akimsaidia.
Mshambuliaji wa Yanga Dider Kavumbagu akianguka chini huku kiungo wa Azam Balon Tcheche akimruka.
Mshambuliaji wa Simon Msuva akimtoka mlinzi Aggrey Moris wa Azam. 
Ligi kuu ya soka Tanzania Bara imeendelea tena hii leo katika viwanja viwili vya Jamhuri mkoani Morogoro na uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika uwanja wa Taifa Yanga walikuwa wakicheza na Azam mchezo ambao umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 mabao yalitofungwa na Didier Kavumbagu kunako dakika ya tisa kipindi cha kwanza na bao la pili likifungwa na Hamisi Kiiza katika kipindi cha pili.

katika mchezo huyo Yamga walionekana kuwa wazuri ukilanganisha na Azam fc ambao leo hawakuwa katika kiwango cha kuependeza sana kama ilivyo zoeleka kwa timu hiyo ambayo inawachezaji wengi wazuri.

Kule mkoani Morogoro Simba wamepigwa kwa bao 2-0 na Mtibwa Sugar katika mchezo uliokuwa mgumu katika muda wote wa mchezo.

matokeo ya michezo yote miwili inaifanya Yanga kuongoza ligi hiyo baada ya kufikisha jumla ya alama 26 ikifuatiwa na Simba ambao baada ya kupoteza mchezo wa leo wamesaliwa na alama za 23 na Azam kusalia na alama 21 katika nafasi ya tatu.

Ratiba mzungo unaofuata ni kama hivi,

NO DATE No.  HOME TEAM AWAY TEAM STADIUM VENUE
12 03.11.2012. 82 RUVU SHOOTING TOTO AFRICANS MABATINI PWANI
03.11.2012. 78 AFRICAN LYON MGAMBO JKT AZAM COMPLEX DAR ES SALAAM
07.11.2012. 79 MTIBWA SUGAR JKT RUVU MANUNGU MOROGORO
03.11.2012. 81 KAGERA SUGAR TANZANIA PRISONS KAITABA KAGERA
03.10.2012. 80 YOUNG AFRICANS SIMBA NATIONAL STADIUM DAR ES SALAAM
07.11.2012. 83 AZAM JKT OLJORO AZAM COMPLEX DAR ES SALAAM
07.11.2012. 84 COASTAL UNION POLISI MOROGORO MKWAKWANI TANGA
13 10.11.2012. 85 MGAMBO JKT AZAM MKWAKWANI TANGA
10.11.2012. 88 AFRICAN LYON MTIBWA CHAMANZI DAR ES SALAAM
11.11.2012. 86 SIMBA TOTO AFRICANS CHAMANZI DAR ES SALAAM
11.11.2012. 87 COASTAL UNION YOUNG AFRICANS MKWAKWANI TANGA
11.11.2012. 89 TANZANIA PRISONS JKT RUVU SOKOINE MBEYA
11.11.2012. 90 KAGERA SUGAR POLISI MOROGORO KAITABA KAGERA
11.11.2012. 91 JKT OLJORO RUVU SHOOTINGS SH. AMRI ABEID ARUSHA
  







No comments:

Post a Comment