KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 1, 2013

NIKE WATOA AINA MPYA YA MPIRA WA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA ENGLAND UNAITWA INCYTE ...........HUU HAPA.........

New balls please... The Nike Incyte football will be used in the Barclays Premier League this season
The Nike Incyte mpira mpya wa msimu mpya wa ligi kuu ya England Barclays Premier.

Detail: Nike claim the Incyte is the most technologically advanced football in the world, with a host of new innovations
Nike wanadai Incyte ni aina ya mpira wa teknolojia ya juu. 

 Ikiwa leo mwezi Juni ukiwa tayari umesha yoyoma na kuingia mwezi mpya wa Julai ni tarehe ambayo wachezaji wengi wa ligi kuu ya nchini England Premier League kurejea tayari kabumbu jipya au aina ya mpira ambao utatumika katika mazoezi na maandalizi ya kuanza kwa msimu umetambulishwa.

Ni aina mpya ya Nike Incyte kwa ajili ya kampeni ya msimu mpya wa ligi kuu ya England Barclays Premier League na inakuja huku kukiwa na ugunduzi mbalimbali.

Watengenezaji wa mipira hiyo wamedai kuwa Incyte ni aina ya mpira unaokidhi teknolojia ya kisasa iliyoendelea duniani na kuhimili, kugusika na kusafiri.
Mpira huo umetengenezwa kwa safu tano ambazo Nike wamedai zitasaidia katika mguso wa kwanza kwa wachezaji bora wa ligi kuu ya England Premier League, na hata wengine wakawaida.

Unavutika vizuri na hata kutereza kwa wastani mzuri kutokana na safu hizo utengenezaji wake haushiki uchafu na unakasi nzuri unapopigwa hewani.
Worldwide: Stars in the Premier League, La Liga and Serie A will use the Incyte in 2013-2014
Nyota wa Premier League, La Liga na Serie A watatumia Incyte msimu wa 2013-2014.

Serie A Incyte football
Nike La Liga ball
Unapatika madukani kuanzia leo kwa bei ya pauni £100.

No comments:

Post a Comment