NUSU FAINALI YA MICHUANO YA BancABC Sup8r KUENDELEA KESHO KWA HATUA YA NUSU FAINALI AMBAPO KUTAKUWA NA MICHEZO YOTE MIWILI YA HATUA HIYO .
MCHEZO WA KWANZA MTIBWA WATAUMANA DHIDI YA JAMHURI YA PEMBA NA KATIKA MCHEZO WA PILI KIKOSI CHA PILI CHA SIMBA KITAKUWA NA KAZI UWANJANI DHIDI YA KIKOSI KILICHO KAMILIKA CHA AZAM FC.
No comments:
Post a Comment