Kocha mkuu wa Simba Mcroatia Zdravko Logarusic anarejea nchini leo
|
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Mcroatia Zdravko Logarusic anatarajiwa kuwasili nchini leo tayari matayarisho ya kikosi chake kwa ajili ya msimu wa ligi 2014/15. Tayari kikosi hicho kimeaanza mazoezi ya kujenga mwili yaani GYM chini kocha msaidizi Selemani Matola. |
No comments:
Post a Comment