KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, June 13, 2013

JOSE MOURINHO AFANYA USAJILI WAKE WA KWANZA CHELSEA KWA KUMCHUKUA MSHAMBULIAJI WA LEVERKUSEN YA UJERUMANI.

On his way: Andre Schurrle has completed his £18million move from Bayer Leverkusen to Chelsea
Andre Schurrle amekamilisha uhamisho wa thamani ya pauni milioni £18 akitokea Bayer Leverkusen.


Jose Mourinho ameanza kufanya usajili wake wa kwanza tangu aarejee Stamford Bridge kwa kumchukua mshambuliaji wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani Andre Schurrle kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £18.

Schurrle,mwenye umri wa miaka 22, alikuwa katika rada ya Chelsea kwa mwaka mzima na inaarifiwa kuwa mshambuliaji huyo atasaini mkataba wa muda mrefu baada ya klabu hiyo kuthibitisha ada hiyo imekubalika hii leo alhamisi.

Kiungo wa Chelsea Kevin de Bruyne hajajumuishwa kuwa sehemu ya mpango wa klabu hiyo wakati ambapo taarifa zinasema kuwa raia huyo wa Belgian atakuwa katika mwelekeo wa kupingwa.
Hi, boss: Schurrle (right) was managed by Mourinho (left) in Michael Ballack's farewell match in Leipzig last week
Schurrle (kulia) na Mourinho (kushoto)

Guitar hero: Schurrle's goal celebrations, in which he used the corner flag as an air-guitar, became a cult hit in Germany

Kuhusu Andre Schurrle:

1990: Alizaliwa November kitongoji cha Ludwigshafen nchini Ujerumani.
2006: Baada ya kuchezea timu ya kitongoji chake baadaye alijiunga na Mainz.
2009: Aliianza kucheza katika ligi ngumu ya Ujerumani katika mchezo wa Mainz na Bayer Leverkusen uliomalizika kwa sare ya 2-2. Alifunga goli lake la kwanza mwezi mmoja baadaye.
2010: Septemba klabu ya Mainz ikatangaza Schurrle amekubali mkataba wa miaka mitano na Leverkusen mwisho wa msimu huo.
2011: Schurrle alimaliza msimu akiwa na Mainz kwa kufunga jumla ya magoli 15 na kuweka rekodi ya klabu hiyo.
2012: Aliianza kutikumikia timu ya taifa ya Ujerumani katika michuano ya 2012 lakini alishindwa kufunga goli.
2013: April - Leverkusen ikathibitisha kuwa ilikuwa na mawasiliano na Chelsea kuhusu Schurrle.
June 13 - Chelsea imetangaza kuwa imekubali mpango wa kumchukua Schurrle.
Mourinho alipoulizwa jumatatu hii nini mipango yake na De Bruyne pamoja na kijana chipukizi Romelu Lukaku alitoa dokezo kali kuwa wawili hao ni sehemu ya mpango wake wa baadaye ndani ya klabu.
 
Mabingwa wa Ulaya wa Europa League wamethibtisha mpango wa kumnasa Schurrle kupitia taarifa iliyosomeka:
 
'Chelsea na Bayer Leverkusen wamefikia makubaliano ya uhamisho wa wa Andre Schurrle, na kwamba kinachofanyika ni kumalizia mambo ya kimaandishi na mengine yanayo husuana na hilo ikiwa ni pamoja maslahi binafsi na vipimo vya afya.'
 Staying put: Belgium's Kevin De Bruyne has not been included in the deal to sign Schurrle, indicating that he will get a chance to impress Mourinho in pre-season
Staying put: Belgium's Kevin De Bruyne has not been included in the deal to sign Schurrle, indicating that he will get a chance to impress Mourinho in pre-season
Raia Belgium Kevin De Bruyne hakujumuishwa katika mpango wa kusajiliwa Schurrle, ikiashiria kuwa aatakuwa na nafasi ya kumvutia Mourinho wakati wa maandalizi ya msimu pre-season.

International regular: Schurrle has earned 24 Germany caps since November 2010 and played at Euro 2012

Target: Montenegro's Stevan Jovetic
Wanted: Uruguay's Edinson Cavani

Chelsea pia wanamtaka Edinson Cavani (kushoto) na Stevan Jovetic.

No comments:

Post a Comment