KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, June 27, 2014

Wasifu wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga Coutinho kama haujitoshelezi vile!

Wasifu wa mshambuliaji mpya wa Yanga aliyeletwa na kocha mpya wa klabu hiyo Marcio Maximo Andrey Marcel Ferreira Coutinho haueleweki kwani hakuna data za hivi karibuni zaidi ya kuonyesha tarehe ya kuzaliwa na klabu yake ya mwisho kuichezea ni Paysandu ya Seria C mwaka 2011.

Ukiingia tovuti ya 'The players Agent' kinachoonekana ni kwamba hajawahi kuingia mkataba na klabu yoyote duniani zaidi ya kuwa mchezaji wa ridhaa katika klabu ya Paysandu ya Seria C huko nchini Brazil mwaka 2011.

Hiki ndicho kinachoonekana


Date of birth: 12 Jan 1990
Nationality: Brazil

Player details

Name:Andrey Marcel Ferreira Coutinho
Birthday:12 Jan 1990 / 24 years old
Nationality:Brazil
Last contract:No data available
Height / Weight: No data available
Position:
Foots:Right

Career

FromClubContracts
Jul 2011
Paysandu ( Brazil )
No professional contracts entered
Pia amepitia klabu nyingine ya Taubate ambayo mchezo wa mwisho kuichezea klabu hiyo ilikuwa ni mwezi Machi katika mchezo dhidi ya Novorizontino ambayo timu yake ilifungwa bao 5-3.
Chini ni michezo aliyocheza kuanzia 2011 mpaka Machi mwaka huu.
Afisa Haari wa Young Africans Bw Baraka Kizuguto (kushoto) akiwa pamoja na mshambuliaji mpya Andrey Coutinho mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerer leo

Sat 29/03/14 PAA Taubaté 3 - 5 Novorizontino

Thu 27/03/14 PAA Matonense 2 - 1 Taubaté

Thu 20/03/14 PAA Votuporanguense 0 - 2 Taubaté

Sat 15/03/14 PAA Taubaté 0 - 0 Água Santa

Mon 07/11/11 SEC Luverdense 1 - 1 Paysandu

Sun 18/09/11 SEC Paysandu 5 - 0 Araguaína

Tue 26/07/11 SEC Paysandu 1 - 1 Rio Branco

Sun 19/06/11 PAR Independente PA 2 - 2 Paysandu