Bao la Ronaldo limeiondosha timu yake ya zamani United vilabu bingwa Ulaya.
|
Mabao mawili yaliyofungwa na Luka Modric na Cristiano Ronaldo yamefakisha kuivusha Real Madrid kuelekea hatua ya timu nane za mwisho ya ligi ya mabingwa barani Ulaya mchezo wa pili wa marudiano uliopigwa Old Trafford.
Ni mchezo ambao umeacha gumzo kubwa kabla ya filimbi ya mwisho ya mchezo huo kufuatia Luis Nani kuzawadiwa kadi nyekundu baada ya madhambi Alvaro Arbeloa katika kipindi cha pili jambo ambalo liligeuza mchezo huo.
Mpaka kadi hiyo inatolewa United ilikuwa mbele kwa bao 1-0 likiwa ni bao la kujifunza mwenyewe Sergio Ramos.
De Gea, Da Silva (Valencia 87), Vidic, Ferdinand, Evra, Carrick, Cleverley (Rooney 73), Nani, Welbeck (Young 80), Giggs, van Persie.
wachezaji wa akiba ambao hawakutumika:
Lindegaard, Evans, Hernandez, Kagawa.
Booked: Evra, Carrick
Kadi nyekundu
: Nani 57.
Goli: Ramos (OG) 48.
Kikosi cha Real Madrid:
Diego Lopez, Arbeloa (Modric 59), Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao, Khedira, Alonso, Di Maria (Kaka 42), Ozil (Pepe 71), Ronaldo, Higuain.
Wachezaji wa akiba:
Adan, Benzema, Albiol, Callejon.
Booked: Arbeloa, Pepe
Wafungaji: Modric 67, Ronaldo 69.
Mwamuzi wa kati:
Cuneyt Cakir (Turkey).
Watazamaji: 74,959
wachezaji wa akiba ambao hawakutumika:
Lindegaard, Evans, Hernandez, Kagawa.
Booked: Evra, Carrick
Kadi nyekundu
: Nani 57.
Goli: Ramos (OG) 48.
Kikosi cha Real Madrid:
Diego Lopez, Arbeloa (Modric 59), Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao, Khedira, Alonso, Di Maria (Kaka 42), Ozil (Pepe 71), Ronaldo, Higuain.
Wachezaji wa akiba:
Adan, Benzema, Albiol, Callejon.
Booked: Arbeloa, Pepe
Wafungaji: Modric 67, Ronaldo 69.
Mwamuzi wa kati:
Cuneyt Cakir (Turkey).
Watazamaji: 74,959
Maamuzi ya mwamuzi wa kati kutoka nchini Utururi Cuneyt Cakir yameyeyusha matumaini yote ya Manchester United na kumuacha mlinzi Rio Ferdinand
akimpigia makofi ya uchungu mwamuzi huyo huku kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho akishangilia
kabla ya kumpa maneno ya faraja Sir Alex Ferguson
aliyekuwa amevimba kwa hasira muda mfupi kabla ya filimbi ya mwisho ya mchezo.
Sir Alex Furguson alilazimika kujenga zaidi nafasi ya kiungo akimtumia pia mkongwe Giggs kwa lengo la kumdhibiti Ronaldo jambo ambalo halikuzaa matunda, hata hivyo mkongwe huyo raia wa Wells alifanya kazi nzuri ya kupongezwa.
Pia alilazimika wakati fulani kufanya kazi ya uokoaji.
Itakumbukwa krosi ya Giggs
iliyokwenda kwa Robin
van Persie, ambaye jaribio lake la kuukwamisha mpira wavuni baada ya shuti lake kuzuiliwa na Sergio
Ramos.
Kiungo wa zamani wa Spurs akipiga shuti lililozaa bao ka kusawazisha.
Namna Ronaldo alivyofunga goli la pili na la ushindi kwa Madrid.
Sergio Ramos akijifunga mapema kipindi cha pili.
United walisalia wachezaji 10 kufuatia Luis Nani kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Huzuni kwa mashabikiwa. |
Mpira wa kichwa wa Nimanja Vidic uliogonga mwamba kuelekea dakika ya 45.
No comments:
Post a Comment