KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, November 18, 2012

BONANZA LA WACHEZAJI WA ZAMANI TCC LARUDISHA MIAKA NYUMA. WACHEZAJI WA ZAMANI WAFURAHIA KUKUTANA SOKA LIMEPIGWA BWANA.

KIKOSI CHA SIMBA
KAMANDA RWAMBO ALIKUWA MGENI WA HESHIMA

ALFRED KIDAU AKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA ZAMANI WA MIRAMBO
KAMANDA RWAMBO ATOA NENO KABLA YA KUFUNGUA BONANZA
HAPA KAMAMDA RWAMBO ANAFUNGUA BONANZA KWA KUPIGA MPIRA GOLINI
MWAMUZI OTHMANI KAZI AKICHUKUA MPIRA BAADA YA MPIRA HUO KUPIGWA NA KAMANDA RWAMBOA
WACHEZAJI WA PLISNER KAUNGULILA MAUFI, ROMA NA JARUFU KARENGA
KAUNGULIALA MAUFI
MTANGAZANI WA BONANZA MBWIGA WA UMATEMATE
MOHAMED HUSEIN MMACHINGA ALICHEZEA KARIAKOO YA LINDI BAADA YA YANGA KUINGIA MITINI.
SHABANI RAMADHANI ALICHEZEA PLISNER
MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AHMED MWINYIMKUU.
IDDI SELEMANI KIBODYA WA SIMBA.
HIKI NI KIKOSI CHA PLISNER
HIKI NI KIKOSI CHA RELI YA MOROGORO.
DAMIAN KIMTI WA SIMBA.
AZIM KHANI KIONGOZI WA SIMBA.
ABDALAHA KABURU ALICHEZEA USHIRIKA MOSHI.
MZEE JAMALI RWAMBO NA MWANDISHI MKONGWE WA MICHEZO MASOUD SAANANI
DAVIDI MIHAMBO MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA NA RELI YA MOROGORO.
MBIGA NAYE ALICHEZEA TIMU KOMBAINI ILIYTOCHEZA NA USHIRIKA MOSHI.
WACHEZAJI WENGINE WA TIMU MBALIMBALI AMBAZO ZILIKOSA UWAKILISHI
KIKOSI CHA RELI KIKIPANGA MKAKATI.
PLISNER KATIKA PICHA YA PAMOJA..
BANDARI MTWARA.

KARIAKOO YA LINDI KATIKA PICHA YA PAMOJA.
IBRAHIM MASOUD MAESTRO ALITOA MAELEKEZO KWA TIMU YAKE YA SIMBA WAKATI WA MAPUMZIKO.

1 comment: