KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 14, 2014

Juma Kaseja aingia mkataba mnono na NSSFGolikipa wa timu ya Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akikabidhiwa mkataba kutoka kwa  Mwanasheria wa NSSF, Chedrick Komba kuwa Balozi rasmi wa Shirika hilo katika Huduma Mbalimbali zitolewazo na NSSF.

Golikipa wa Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akisaini mkataba wa kuwa balozi wa NSSF katika huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori na Kulia ni Mwanasheria wa NSSF, Chieldric Komba.