KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 15, 2014

Luis Suarez aanza mazoezi na klabu yake ya Barcelona

Wote wanafuraha: Barcelona wamekuwa katika maandalizi mazuri ya kuanza msimu huku Suarez akiwa katika mazoezi ya binafsi
Luis Suarez ametanabaisha ya kuwa amefurahia sana kurejea katika mazoezi baada ya hii leo Ijumaa kujiunga na wachezaji wenzake kwa mara ya kwanza na klabu yake mpya ya  Barcelona.

Raia huyo wa Uruguay alikuwa akifanya mazoezi ya peke yake wakati akisubiri kusikilizwa kwa rufaa yake ya kumng'ata kwa meno mlinzi wa timu ya taifa ya Italia Giorgini Chiellini katika michuano ya kombe la dunia.

Wakati akiendelea kusimama kwa adhabu ya miezi minne na michezo tisa ya kimataifa, mahakama ya kimataifa ya michezo ya (Court for Arbitration in Sport) iliyo na makao yake nchini Uswiz imesimamisha kuendelea na shauri lake huku ikipunguza kifungo cha kutokujishughulisha na jambo lolote linalo husu mchezo wa soka na kumuweka huru kushiriki mazoezi na klabu yake ya Barcelona na kushiriki michezo ya kirafiki mpaka Oktoba.

Class; Suarez will bring a different dimension to the Barcelona attack when his bans ends in late October
Suarez anatarajiwa kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Barcelona mara baada ya adhabu yake kumalizika mwezi OktobaContent: Suarez was all smiles as he took part in his first Barcelona training session
Suarez alionekana akiwa mwenye tabasamu kubwa akiungana na wachezaji wenzake wa Barcelona siku ya kwanza ya mazoezi
A work out at last: Luis Suarez trains with his Barcelona team-mates on Friday, including club captain Xavi
Hapa kazi tu: Luis Suarez akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Barcelona ijumaa ya leo pamoja na nahodha Xavi

Amenukuliwa akisema
' Nina furaha sana na kuhisi kama ni mchezaji wa soka kwa mara nyingine na kuungana na wachezaji wenzangu katika mazoezi'
Ruling: CAS ruled that Luis Suarez can take part in training and friendly matches but didn't reduce his ban
CAS wamemruhusu Luis Suarez kuunga na kikosi cha katika mazoezi na michezo ya kirafiki lakini hakupunguziwa adhabu.Training: The Uruguayan forward has been training on his own since signing for Barcelona