KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 30, 2013

MOURINHO MBWATUKAJI AWABWATUKIA WAANDISHI WA HABARI.

Early end: Jose Mourinho storms out leaving Frank Lampard in the press conference
Early end: Jose Mourinho storms out leaving Frank Lampard in the press conference
Fury: Jose Mourinho lashed out at those questioning his squad selection
Fury: Jose Mourinho lashed out at those questioning his squad selection
Unhappy: Mourinho walked out of the press conference shortly after being question on De Bruyne's axing
Unhappy: Mourinho walked out of the press conference shortly after being question on De Bruyne's axing


Jose Mourinho aliyekuwa na hasira hii leo alilazimika kuukatisha mkutano wake na waandishi wa habari katika mkutano wake na wanahabari hao kuelekea katika mchezo wa Chelsea dhidi ya Steaua Bucharest.
Bosi huyo wa Chelsea hakufurahishwa na swali juu ya kumuaacha  Kevin de Bruyne katika kikosi chake katika hatua ya makundi.

WAKE NA WAPENZI WA WACHEZAJI WA UNITED HAWANA HABARI YA KICHAPO CHA JUMAMOSI WATOKELEZEA KATIKA UZINDUZI WA MFUKO WAO.

Line up: Bouchra Van Persie, Sam Cooke (Chris Smalling), Helen Evans, Laura Christ (Alex Buttner), Kaya Hall (Phil Jones), Nicky Pike (Ashley Young), Daniela Martins (Nani), Misse Beqiri (Anders Lindegaard)Wakati Manchester United ikionyesha soka bovu katika mchezo ambao walifungwa mabao 2-1 Jumamosi na West Bromwich Albion, lakini wake na marafiki wa kike wa wachezaji wa klabu hiyo hawakuwa katika huzuni mbali ya kutokelezea kiurembo zaidi katika siku ambayo walikwenda kuzindua mfuko wao maalumu uliotambulika kama 'United foundation ladies lunch'.

Among those present were Michael Carrick's wife Lisa, Robin van Persie's wife Bouchra and The Only Way is Essex star Georgina Dorsett, who is Tom Cleverley's girlfriend.
Hosted by Eamonn Holmes and Ruth Langsford, following the sell-out success of last year’s event, the event saw the girls enjoy live entertainment and the chance to experience the luxury treatments in the Selfridges beauty village.

Ladies lunch: Georgina Dorsett, girlfriend of Tom Cleverley and star of TOWIE, poses for the cameras
Daniela Martins, girlfriend wa Luis Nani

Anna Vidic mke wa mlinzi Msebia Nemanja Vidic akiwasili shughulini.
Lisa Carrick mkew wa kiungo Michael Carrick ambao walioana 2007, mwaka mmoja baada ya kiungo huyo kujiunga na United

Marafiki: Kaya Hall (mpenzi wa Phil Jones kulia ) na Bouchra van Persie (mke wa Robin van Persie)
Kimtoko zaidi: Anna Vidic, Lisa Carrick, mgeni , Georgina Dorsett (Tom Cleverley), Hayley Fletcher

Adel Taarabt asiyekuwa na nidhamu aitwa kikosini Morocco.

Adel Taarabt ameitwa tena katika kikosi cha Morocco ikiwa ni miezi tisa baada ya kumaliza mgomo wake wa kumuomba radhi kocha wa kikosi hicho baada ya kumtusi.

Kiungo huyo ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Fulham akitokea QPR, yumo katika kikosi cha Morocco kitakacho cheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika kusini Oktoba 11.

Mwezi Januari, Morocco ilitaka kuombwa radhi na Taarabt kufuatia kumtusi Rachid Taoussi, ambaye baadaye aliaachwa katika kikosi kilicho shiriki michuano ya Mataifa ya Afrika.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 alishutumiwa kwa kutokuwa na nidhamu kwa kocha wake.

Kocha Taoussi alimuacha kikosini Taarabt baada ya kuonyesha dharau kufuatia kukataa kukutana naye na hata kugomea kupokea simu yake pale baada ya kuchelewa kujiunga na kikosi kwa safari ya maandalizi barani Ulaya.

Stephane Mbia kuukosa mchezo wa mtoano kusaka kombe la dunia dhidi ya Tunisia.

Kiungo wa timu ya taifa ya Cameroon Stephane Mbia amekuwa akisumbuliwa na majeraha ambayo yatamuweka nje ya uwanja mwezi huu hususani kuelekea katika mchezo wa hatua ya mtoano kusaka nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Tunisia.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27 aliumia mguu wakati akiitumikia klabu yake ya Sevilla, ambapo taarifa zanasema kuwa kiungo huyo atakuwa nje ya uwanja kwa takribani mwezi mzima.

Hii ina maanisha kuwa Oktoba 13 hatakuwepo uwanjani kama ilivyo katika mchezo wa marudiano katikati ya mwezi Novemba, ambapo mshindi wa mchezo huo atakuwa akielekea katika fainali za kombe la dunia nchini Brazil.

Arsene Wenger anasema historia itadhihirisha ndani ya Chelsea baada ya kumuacha Rafael Benitez.

Bosi wa ArsenalArsene Wenger anasema Rafael Benitez alikuwa na wakati mgumu sana alipokuwa na Chelsea lakini anaamini historia itadhihirisha kuwa alifanya kazi nzuri ndani ya klabu hiyo.

Benitez ambaye kwasasa ana umri wa miaka 53, atakuwa na kikosi cha Napoli huko London hapo kesho watakapokuwa wakikabiliana na washika bunduki wa Arsenal katika mchezo wa vilabu bingwa Ulaya.
Mhispania huyo alikuwa katika kipindi cha muda cha kukiongoza kikosi cha Chelsea tangu Septemba mwaka jana na kukiongoza mpaka kutwaa taji la michuano midogo ya Ulaya ya Europa lakini alishindwa kukubalika na kundi fulani la mashabiki wa klabu hiyo.

Alipoulizwa kama hakutendewa mema ndani ya Chelsea, Wenger alijibu "Yes."na kuongeza
"Watu walikuwa wagumu kwake kwasababu hawakutegeme yeye kuwepo Chelsea lakini alifanya vizuri. Aliwafanyia vema.

"Mwisho wa siku, watakubali kuwa alifanya vizuri."
Rafael Benitez
  • REKODI YA BERNITEZ.

  • Valencia: La Liga (2001-02, 2003-04); Uefa Cup (2003-04)
  • Liverpool: FA Cup (2005-06); Community Shield (2006); Champions League (2004-05); Uefa Super Cup (2005)
  • Inter Milan: Supercoppa Italiana (2010); Fifa Club World Cup (2010)
  • Chelsea: Europa League (2012-13)
Benitez, ambaye aliingoza Chelsea kushika nafasi ya tatu katika ligi kuu ya England 'Premier League', aliondoka Stamford Bridge na kwenda kuifundisha FC Napoli mwezi Mei.
 
Kesho atakuwa akikiongoza kikosi hicho kutoka Italia katika kukabiliana na Arsenal inayoongoza ligi ya England huu ukiwa ni mchezo wa kundi F katika michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya.

Bayern na mtihani dhidi ya Manchester City.

Kocha wa Bayern Pep Guardiola atakabiliwa na mtihani mwingine dhidi ya timu ya premier League, katika Champions League baada ya kupata ushindi wa kombe la Super Cup dhidi ya Chelsea kupitia mikwaju ya penalti.
 
 Mlinda lango wa Bayern Manuel Neuer anasema huu utakuwa mchuano wa timu mbili zenye nguvu sawa, wakati naye nahodha wa Manchester City Vincent Kompany akiwataka wenzake wakaze buti baada ya kichapo cha mabao matatu kwa mawili dhidi ya Aston Villa.

Katika kundi F, Arsenal ambao maisha yao yanaonekana kuwa ya starehe wakati huu wakiongoza Ligi Kuu ya England, watakuwa wenyeji wa Napoli. Timu zote mbili zilishinda mechi zao za kwanza za Champions League.
Kwa upande wao Borussia Dortmund wana shughuli pevu nyumbani dhidi ya Olympique Marseille. 

Baada ya kichapo cha nyumbani cha mabao mawili kwa moja na West Bromwich Albion Jumamosi iliyopita katika Ligi ya nyumbani, mbinyo unazidi kuongezeka dhidi ya kocha wa Manchester United David Moyes kabla ya mpambano wao wa Jumatano ugenini na Shakhtar Donetsk katika kundi A.

Juventus watakuwa wenyeji wa Galatasaray katika mchuano wa kundi B kati ya mabingwa wa Italia na Uturuki, ambao wamemkaribisha Roberto Mancini kama kocha wao mpya. Real Madrid watakuwa nyumbani kupambana na FC Copenhagen, kurejesha ujasiri wao baada ya kunyamazishwa mwishoni mwa wiki katika mchuano wa ligi ya nyumbani waliofungwa bao moja kwa sifuri na Atletico Madrid.

AC Milan inawakaribisha tena kikosini Riccardo Montolivo na Stephan El Shaarawy baada ya kupona majeraha yao pamoja na Mario Balotelli ambaye amepumzika vya kutosha, wakati watakapochuana na Ajax mjini Amsterdam katika mechi ya kundi H hapo kesho.

Barcelona watasafiri mjini Glasgow kupambana na Celtic hapo kesho katika mechi ya kundi H, bila ya huduma za mashambuliaji wao Lionel Messi. Muargentina huyo alipata jeraha katika mguu wake wa kulia mwishoni mwa wiki lakini Neymar yuko tayari kulijaza pengo hilo.

Atletico Madrid watasafiri hadi Porto katika mchuano wa kundi G. Real Sociedad watajaribu kujikwamua ugenini dhidi ya Bayer Leverkusen katika mechi ya kundi A. Schalke wa Ujerumani wako na kibarua dhidi ya Basel katika mechi ya kundi E, baada ya timu hiyo ya Uswisi kubwaga Chelsea mabao mawili kwa moja katika mchuano wa kwanza nao Schalke wakawapiku Steaua Bucharest mabao matatu bila jawabu.

 Sasa kocha wa Chelsea Jose Mourinho anasema Juan Mata ataanza katika mchezo wa kesho dhidi ya Steaua ambao ni lazima aishinde. Katika kundi C, Paris St Germain watapambana na Benfica nao Anderlecht wakiwaalika Olympiakos siku ya Jumatano.

Mancini kwenda Uturuki kuziba nafasi iliyowazi.

Kocha wa zamani wa Manchester City ,Roberto Mancini anazungumza na mabingwa wa Uturuki Galatasaray kuhusu nafasi iliyo wazi ya kocha wa klabu hiyo.
Klabu hiyo ya mjini Istanbul imethibitisha katika mtandao wa Twitter kwamba Mancini amekutana na wakurugenzi wa klabu hiyo na kupigwa picha na mkurugenzi mkuu , Lutfi Aribogan.
Mtaliana huyo anatarajiwa kushika nafasi ya Fatih Terim, ambae alipigwa kalamu wiki iliyopita baada ya kushindwa kukubaliana mkataba mpya.
Manchester City ilimfuta Mancini mnamo mwezi wa Mei mwaka mmoja baada ya kuongoza hadi kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya England.
Galatasaray imeanza vibaya msimu wa soka Uturuki ikishinda mechi moja tu kati ya michuano mitano ya kwanza .
Katika michuano ya klabu bingwa ya Ulaya ilicharazwa na Real Madrid,kwa mabao 6-1.
Terim, mwenye umri wa miaka 60, aliongoza Galatasary kushinda mara 6 ubingwa wa Uturuki pamoja na kombe la UEFA mwaka 2000 baada ya kuichezea kwa kipindi cha miaka 11.
Mancini ameshinda ubingwa wa Italia mara tatu akiwa na Inter Milan ya Utaliana kabla ya kunyakua kombe la FA na ubingwa wa ligi na Manchester City.

Saturday, September 28, 2013

Bao la Yanga limefungwa na Hamisi kiiza latosha kuiipa Yanga ushindi dhidi RUVU SHOOTING.

Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa akimtoka mlinzi wa Ruvu Shooting y Pwani Stefano Mwesika katika mchezo uliofanyikia uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mchezo huo Yanga imechomoza na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamisi Kiiza.
Wachezaji wa Yanga wakishangia bao lilifungwa na Hamisi Kiiza katikati pichani katika mchezo ambao Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 uwanja wa taifa.

Manchester United WAGARAGAZWA na West Brom 2-1

Wonderkid: Saido Berahino celebrates scoring West Brom's second goal against Manchester United
Wonderkid: Saido Berahino celebrates scoring West Brom's second goal against Manchester United
Shocker: West Brom run off to celebrate with Berahino after his 67th -minute winner
Shocker: West Brom run off to celebrate with Berahino after his 67th -minute winner

 Manchester United slumped to their third Barclays Premier League defeat of the season as West Brom recorded a first win at Old Trafford since 1978.

Goals from Morgan Amalfitano and Saido Berahino either side of the interval proved enough for the delirious Baggies despite Wayne Rooney netting for the fifth time in as many games.
Not even the second-half introductions of Robin van Persie and Marouane Fellaini could swing the contest back in United's favour as they lost 2-1.

Match facts

BADGES
MANCHESTER UNITED: De Gea 6; Jones 6, Ferdinand 5, Evans 6, Buttner 5; Nani 6, Carrick 6, Anderson 5 (Fellaini 67, 6), Kagawa 6 (Januzaj 46, 6); Rooney 7, Hernandez 5 (Van Persie 58, 6)
Subs not used Amos, Evra, Welbeck, Valencia
Booked Carrick, Jones, Buttner
BADGES
WEST BROM: Myhill 6; Jones 7, McAuley 7, Olsson 7, Ridgewell 6; Yacob 6, Mulumbu 6; Amalfitano, 7, Sessegnon 8 (Rosenberg 90), Sinclair 6 (Berahino 13, 7); Anichebe 6 (Lugano
Subs not used Daniels, Popov,  Dorrans, Dawson
Booked Mulumbu
Referee Michael Oliver 7
Man of the match Stephane Sessegnon
Managers David Moyes 5, Steve Clarke 7


Fellaini did think he had equalised when he poked home Nani's low cross five minutes from time but the effort was ruled out for offside.
The result, at the start of what was supposed to be an easy run of fixtures, is a shattering blow to new manager David Moyes, whose team have now slipped six points off the pace in the early stages of the title race.
More importantly, United have now lost half their league matches and find themselves firmly in mid-table, with the faith the club's supporters vowed to have in their new manager already starting to fray judging by the boos that accompanied the final whistle.
There could hardly have been a greater contrast between the drab fare served up in the first-half and the 10-goal thriller between the sides that served as a fitting epitaph to Sir Alex Ferguson's managerial career in May.
Whereas the spectacular show at The Hawthorns had supporters on the edge of their seats, this soporific show had them slumped.
United were on top, as expected.
But their efforts were sporadic.
Rooney, who retained the captain's armband, had one header saved by Boaz Myhill and sent another soaring over the bar.
Shinji Kagawa's scheming presented a chance for Alex Buttner, but his scuffed shot was blocked.
Can't believe it: Rooney looks on with shock as United drop out of the top ten in the Premier League
Can't believe it: Rooney looks on with shock as United drop out of the top ten in the Premier League
Toppled: Manchester United's players including goalkeeper David De Gea stand dejected
Toppled: Manchester United's players including goalkeeper David De Gea stand dejected
Shock: Morgan Amalfitano celebrates scoring West Brom's opener at Old Trafford
Shock: Morgan Amalfitano celebrates scoring West Brom's opener at Old Trafford

Stat attack

  • Morgan Amalfitano has scored in two consecutive Premier League appearances for West Bromwich Albion.
  • Wayne Rooney has now scored three direct free kicks this season; the last player to score more in a single season was Cristiano Ronaldo (four in 2008/09).
  • Saido Berahino scored his first ever Premier League goal.
  • The Baggies netted twice at Old Trafford for only the second time in the PL era (drew 2-2 in October 2010).
  • Seven of West Brom’s last 11 PL goals have come against Manchester United.
  • This is the first time 13/09/08 that Manchester United and Manchester City lost on the same day in the Premier League.
  • West Brom won at Old Trafford in the league for the first time since December 1978.
  • Manchester United three of their opening six league games for the first time since 1989/90.
  • Man Utd have never won the title in a top-flight season where they've lost three or more of their opening six games.
  • The last time to win the top-flight title after having lost three of their first six games were Portsmouth in 1949/50.
The nearest United came was when Kagawa countered after some intelligent hold-up play from Javier Hernandez, cut inside Gareth McAuley, then picked out Anderson with an excellent cross.
It did seem an offside flag had been raised against the Brazilian.
If so, it was a bad decision. Not that it mattered in the end as the midfielder's diving header crashed back off the bar before he hooked a volley over.
Yet, for all their dominance of possession, United still lived dangerously at the other end.
Substitute Berahino flicked a header just wide from Amalfitano's cross. He then fired an effort straight at David de Gea in the last dregs of the opening period when really he should have done much better.
Moyes cannot have been that impressed as when his side re-appeared after the interval, Kagawa had been replaced by 18-year-old Adnan Januzaj. The teenager had no time to make an impact before the visitors seized the initiative.
Large question marks hung over the United defence as West Brom celebrated their goal though. For, after nicking possession in front of the dug-outs on halfway, Amalfitano was allowed to stride directly towards goal, brushing off a couple of half-hearted attempts to stop him.
Faced with only De Gea to beat, the Frenchman showed admirable composure, lifting his shot over the goalkeeper and in. Moyes immediately called Van Persie off the bench. But before the Dutchman could be introduced, Rooney had levelled.
Off the band: Wayne Rooney rises above the West Brom defence to aim a header at goal
Off the band: Wayne Rooney rises above the West Brom defence to aim a header at goal
Tussle: United's Nani (left) attempts to hold off the challenge of West Brom defender Liam Ridgewell
Tussle: United's Nani (left) attempts to hold off the challenge of West Brom defender Liam Ridgewell
In action: United playmaker Shinji Kagawa (left) tries to get past Gareth McAuley
In action: United playmaker Shinji Kagawa (left) tries to get past Gareth McAuley
Yet again it was a free-kick. This time from about 25 yards, which the in-form England forward curled expertly home.
It was Rooney's fifth goal in as many games and with Van Persie ushered on a few minutes later, Old Trafford expected a routine end to proceedings. The game did not pan out that way though. Sensing their opponents are not the force of old, West Brom went hunting more.
And after a couple of close calls - including an Olsson header that hit the underside of the crossbar - they duly went ahead again as Amalfitano laid a superb pass into the path of Berahino, who found the bottom corner.
Strike a pose: Anderson twists his body to have a shot at goal
Strike a pose: Anderson twists his body to have a shot at goal
Forward men: Rooney celebrates his equaliser with Javier 'Chicharito' Hernandez and Alex Buttner
Forward men: Rooney celebrates his equaliser with Javier 'Chicharito' Hernandez and Alex Buttner
As Moyes had already introduced Fellaini, there was no more he could do other than hope for a change in fortune. It did not arrive.
Rather than one of those stirring comebacks this ground had seen so many of, West Brom actually held their own. Indeed, Stephane Sessegnon nearly made the damage even worse, only to slice his shot when glory beckoned.
Fellaini had a goal ruled out for offside before Rooney's late free-kick was punched clear by Myhill and Januzaj flashed an injury-time effort wide.
Warrior: Baggies defender Jonas Olsson (centre) kneels as he is treated for a head injury
Warrior: Baggies defender Jonas Olsson (centre) kneels as he is treated for a head injury
Guess who? Marouane Fellaini can't watch from the substitutes bench at Old Trafford
Guess who? Marouane Fellaini can't watch from the substitutes bench at Old Trafford

MESSI AVUNJA REKODI NYINGINE YA MABAO NDANI YA BARCELONA LEO SOMA...............



Lionel Messi sasa amekuwa ndiye mfungaji kinara mwenye magoli mengi zidi katika michezo ya kimashindano kuliko mchezaji mwingine yoyote katika historia ya klabu ya Real Madrid baada ya kumzidi mkongwe wa zamani wa klabu hiyi  maarufu kama 'Blancos' huyu si mwingine ni Raul baada ya kufunga magoli hii leo.

Mshambuiliaji huyo wa kimataifa wa Argentina alipiga bao la pili la Barcelona katika mchezo wa ligi Jumanne pale walipoibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Real Sociedad mchezo wa ligi ya Hispania 'La Liga' ambapo alilingana na Raul kwa kufunga goli la 323 lakini goli lake safi la leo dhidi ya Almeria lilitosha kumpiku mshambuliaji wa zamani Raul kwa kufunga magoli ya kimashindano.

Messi amefunga sasa jumla ya magoli 324 ya kimashindano katika jumla ya michezo 388 aliyochezea Camp Nou akiwa bado ana umri wa miaka 26.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Argentina, kwasasa ana magoli 62 ya michuano ya Champions League akiwa nyuma ya Raul mwenye rekodi ya magoli 71 ya michuano ya vilabu Ulaya.

Mabao hayo 323 ya Raul aliyo ifungia Real Madrid ni katika jumla ya michezo 741 ndani ya misimu 16 ndani ya Santiago Bernabeu. Messi mwenye magoli 324 ana kampeni 10 ndani ya klabu hiyo ya Katalunya.

CRISTIANO RONALDO AFUTA KESI POLISI YA MAREKANI

Cristiano Ronaldo amekiandikia kituo cha polisi cha Miami ombi la kutaka kuondoa shitaka dhidi ya shabiki wa mpiwa kijana aliyeingia ndani ya uwanja na kumkumbatia (huggy) wakati wa michezo ya maandalizi ya msimu.

Ronald Gjorka, mwenye umri wa miaka 20 ambaye ni shabiki wa kupindikia wa Real Madrid alirukia ndani ya uwanja wakati wa mchezo dhidi ya Chelsea huko Marekani na moja kwa moja kumvaa na kumkumbatia nyota Ronaldo kwa muda.

Tukio hilo lilichukua muda mrefu mpaka polisi walipo fanikiwa kuingia ndani ya uwanja na kuwaachanisha Gjorka na Ronaldo kabla ya kumtia kizuizini shabiki huo na kufunguliwa mashitaka.

Wakati kijana huyo akiwa sasa katika hatua ya kumuondoa chuoni anakosoma na kurejeshwa kwao nchini Albania endapo atakutwa na hatia, tayari Ronaldo ameingilia kati na kumsaidi kijana huyo.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ureno ameandika barua kwenda kwenye mamlaka wiki hii akitaka waachane na shauri hilo dhidi ya Gjorka, na kumruhusu aendelee kusalia nchini Marekani.

Amenukuliwa akisema,
‘Naelewa nafasi yako na umuhimu wa sheria’.
‘Hata hivyo, kwa heshima na taadhima ningeomba wewe na ofizi yako kufikiria mara ya pili maamuzi ya hilo na kuachana na kesi hiyo.’
Bado haijawekwa wazi endapo nguvu ya ombi la barua hiyo itafua dafu lakini Ronaldo.

Kalenda ya mbio za magari za Fomula 1 2014 yatoka mji wa New Jersey nao wajumuishwa.

Mji wa New Jersey umeorodheshwa kama ya viwanja vitatu vitakavyotumika katika mbio za magari za 22 za Formular katika mwaka wa kalenda wa msimu wa 2014.

Mbio hizo ziliuweka mji wa New York City katika mashaka pale ulipoondolewa katika kalenda ya awali.

Lakini umekuwepo katika orodha iliyotolewa hapo jana na baraza la dunia la mbio za magari (World Motor Sport Council) hapo jana huku miji ya nchi za Mexico na Korea nayo ikijumuishwa.

Wakati hayo yakiwa hivyo kampuni ya kutengeneza matairi ya Pirelli sasa inaweza kuendelea kuwa na dhamana ya kugawa matairi yake katika Formula 1 mwaka 2014, hii ikiwa imethibitishwa na bodi ya michezo ya mchezo huo.
Shirikisho la mchezo wa mbio za magari FIA limetoa taarifa yake likithibitisha juu ya kalenda ya michezo ya Fomula 1 kwa mwaka ujao wa 2014 likihitimisha mipango ya mwaka huo.
2014 Calendar.
 
16 March: Australia (Melbourne)
30 March: Malaysia (Sepang)
6 April: Bahrain (Sakhir)
20 April: China (Shanghai)
27 April: Korea (Korea International Circuit)*
11 May: Spain (Barcelona)
25 May: Monaco (Monaco)
1 June: Grand Prix of America (New Jersey)*
8 June: Canada (Montreal)
22 June: Austria (Red Bull Ring)
6 July: Britain (Silverstone)
20 July: Germany (Hockenheim)
27 July: Hungary (Budapest)
24 August: Belgium (Spa-Francorchamps)
7 September: Italy (Monza)
21 September: Singapore (Marina Bay)
5 October: Russia (Sochi)*
12 October: Japan (Suzuka)
26 October: Abu Dhabi (Yas Marina)
9 November: USA (Austin)
16 November: Mexico (Mexico City)*
30 November: Brazil (Interlagos)
* Subject to the circuit approval

Chama cha Baiskeli - UCI chamchagua rais mpya

Kiongozi mpya wa Chama cha Uendeshaji Baiskeli Ulimwenguni – UCI Brian Cookson ana kibarua kigumu kuhakikisha kuwa hadhi ya mchezo huo ambayo imechafuliwa kwa muda mrefu inarekebishwa.
Cookson atataraji kuwa mwendesha basikeli aliyekabiliwa na kashfa kubwa ya matumizi ya dawa za kulevya Lance Armstrong anaweza kutekeleza jukumu kubwa katika mchakato wa “ukweli na maridhiano” na kusaidia kuponya vidonda vya mchezo huo.
Cookson alimpiku kiongozi anayeondoka Pat McQuaid katika wadhifa wa urais wa UCI baada ya mchakato wa uchaguzi uliokumbwa na hisia kali jana Ijumaa. Wakati Muingereza huyo mwenye umri wa miaka 62 akitaraji ushirikiano kamili kutoka kwa McQuaid kama uchunguzi utaanzishwa kuhusiana na ufisadi ndani ya chama hicho, Armstrong huenda akawa mmoja wale ambao Cookson atatangulia kuwatolea mwito.
Kukiri Armstrongkwamba alitumia dawa za kusisimua misuli katika taaluma yake yote, baada ya kupigwa marufuku ya maisha katika mchezo huo mwaka mmoja uliopita, kuliharibu hata zaidi hadhi ya uendeshaji baisikeli.
Kampeni ya Cookson ilihusu wito wa kuanzishwa shirika la kupambana na dawa zilizopigwa marufuku michezoni ambalo litakuwa huru bila uhusiano na UCI, kwa sehemu, kutokana na madai kwamba McQuaid na rais wa zamani wa UCI Hein Verbruggen walishirikiana katika siku za nyuma, kuficha habari kuhusu matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku.

Friday, September 27, 2013

As red-hot Ronaldo climbs Real Madrid's all-time scorer list, who are the top 5 goal machines in history at Europe's biggest clubs?

Real deal: Cristiano Ronaldo is the only player in Real Madrid's top five to have scored at more than one a game
Real deal: Cristiano Ronaldo is the only player in Real Madrid's top five to have scored at more than one a game
Real deal: Cristiano Ronaldo is the only player in Real Madrid's top five to have scored at more than one a game
ronaldo thumb

Sportsmail has compiled a list of the top five all-time scorers at the biggest clubs across Europe.

 Cristiano Ronaldo moved to fifth in Real Madrid's all-time top scorers this week – but he's still got a long way to go to reach some of the greats of the game.
It must pain him to see how far ahead his main rival for global superstar Lionel Messi is - the 26-year-old already topping Barcelona's list.
But he'll be pleased to see he is the ONLY player who has scored at an astonishing rate of more than a goal per game while at Real.
Rather surprisingly, AC Milan legend Andriy Shevchenko is beaten to the top spot of their all-time scorers by Swede Gunnar Nordahl, who netted almost 100 more goals than him.
Kenny Dalglish (172) and Michael Owen (158) have been edged out of Liverpool's top five by Robbie Fowler.
And it seems inconceivable that Wayne Rooney won't go on to beat Sir Bobby Charlton's 249 United goals record sitting fourth only 48 behind.

REAL MADRID
Benchmark: Ronaldo must score 113 more times to catch Spanish striker Raul's tally
Benchmark: Ronaldo must score 113 more times to catch Spanish striker Raul's tally
Raul (Spain), 1994-2010: 323 goals in 741 (0.44)
Alfredo Di Stefano, 1953-1964: 305 in 392 (0.78)
Carlos Santillana (Spain), 1971-1988: 289 in 645 (0.45)
Ferenc Puskas (Hungary), 1958-1966: 242 in 262 (0.92)
Cristiano Ronaldo (Portugal), 2009-present: 210 in 206 (1.02) 

BARCELONA 
Shadowmaker: If not for Barcelona's Lionel Messi, Ronaldo would streak ahead of current players
Shadowmaker: If not for Barcelona's Lionel Messi, Ronaldo would streak ahead of current players

Lionel Messi (Argentina), 2004-present: 323 in 373 (0.87 goals per game) Cesar Rodriguez Alvarez (Spain), 1942-1955: 294 in 433 (0.68 goals per game)
Laszlo Kubala (Hungary), 1950-1961: 194 in 256 (0.76 goals per game)
Josep Samitier (Spain), 1919-1932: 178 (appearances not available)
Josep Escola (Spain), 1934-1949: 163 in 235 (0.69 goals per game) 

JUVENTUS
Mercurial: Juventus's top scorer Alessandro Del Piero is still carving up defences (in Australia) at age 38
Mercurial: Juventus's top scorer Alessandro Del Piero is still carving up defences (in Australia) at age 38

Alessandro Del Piero (Italy), 1993-2012: 290 in 705 (0.41)
Giampiero Boniperti (Italy), 1946-1961: 182 in 444 (0.41)
Roberto Bettega (Italy), 1970-1983: 178 in 326 (0.54)
David Trezeguet (France), 2000-2010: 171 in 318 (0.54)
Omar Sivori (Argentina), 1957-1965: 167 in 254 (0.65) 
 
AC MILAN
Prolific: AC Milan's Swedish striker Gunnar Nordahl (right) won two Scudetto's with the Italian giants
Prolific: AC Milan's Swedish striker Gunnar Nordahl (right) won two Scudetto's with the Italian giants
Gunnar Nordahl (Sweden), 1949-1956: 221 in 268 (0.82)
Andriy Shevchenko (Ukraine), 1999-2006 & 2008-2009: 175 in 322 (0.54)
Gianni Rivera (Italy), 1960-1979: 164 in 658 (0.25)
Jose Altafini (Brazil), 1958-1965: 161 in 246 (0.65)
Aldo Boffi (Italy), 1936-1945: 131 in 187 (0.7) 

LIVERPOOL
Famous finger: Liverpool and Wales goal machine Ian Rush gives his trademark post-goal salute
Famous finger: Liverpool and Wales goal machine Ian Rush gives his trademark post-goal salute
Ian Rush (Wales), 1980-1987 & 1988-1996: 346 in 660 (0.52)
Roger Hunt (England), 1958-1969: 286 in 492 (0.59)
Gordon Hodgson (England), 1925-1936: 241 in 377 (0.63)
Billy Liddell (Scotland), 1938-1961: 228 in 534 (0.43)
Robbie Fowler (England), 1993-2001 & 2006-2007: 183 in 369 (0.5) 

  MANCHESTER UNITED
Legend: Sir Bobby Charlton was a master goal poacher and lethal with his free-kicks
Legend: Sir Bobby Charlton was a master goal poacher and lethal with his free-kicks
Sir Bobby Charlton (England), 1956-1973: 249 in 758 (0.33)
Denis Law (Scotland), 1962-1973: 237 in 404 (0.59)
Jack Rowley (England), 1937-1955: 211 in 424 (0.5)
Wayne Rooney (England), 2004-present: 201 in 408 (0.49)
George Best (Northern Ireland), 1963-1974: 179 in 470 (0.38) 
 
MANCHESTER CITY
Immense: Manchester City's top goal-scorer Eric Brook was known for his strength and thunderous shot
Immense: Manchester City's top goal-scorer Eric Brook was known for his strength and thunderous shot

Eric Brook (England), 1928-1939: 178 in 499 (0.36)
Tommy Johnson (England), 1920-1930: 166 in 328 (0.5)
Colin Bell (England), 1966-1979: 153 in 492 (0.31)
Joe Hayes (England), 1953-1965: 152 in 363 (0.42)
Billy Meredith (Wales), 1894-1906 & 1921-1924: 152 in 394 (0.39)
 
CHELSEA
Greatness: Frank Lampard lets it sink in after he became Chelsea's greatest ever goal scorer
Greatness: Frank Lampard lets it sink in after he became Chelsea's greatest ever goal scorer

Frank Lampard (England), 2001-present: 204 in 615 (0.33)
Bobby Tambling (England), 1959-1970: 202 in 370 (0.55)
Kerry Dixon (England), 1983-1992: 193 in 420 (0.45)
Didier Drogba (Ivory Coast), 2004-2012: 157 in 341 (0.46)
Roy Bentley (England), 1948-1956: 150 in 367 (0.41)

'I'll be back': Chelsea star Van Ginkel's all smiles from his hospital bed after confirmation his surgery was successful

Road to recovery: Marco van Ginkel is confident he will return to the Chelsea first team
Road to recovery: Marco van Ginkel is confident he will return to the Chelsea first team
Surgery: Marko van Ginkel successfully underwent ACL surgery, Chelsea have confirmed
Surgery: Marko van Ginkel successfully underwent ACL surgery, Chelsea have confirmed.
Painful: Van Ginkel injured himself in the first half of the match against Swindon and is expected to be out for six months
Painful: Van Ginkel injured himself in the first half of the match against Swindon and is expected to be out for six months.

Chelsea midfielder Marco van Ginkel encouragingly appears to be fully on the road to recovery and in good spirits on Friday morning after surgery the day before.
Many would have been left devastated by a six-month lay off so soon after a big transfer but the talented youngster looks firmly in the right frame of mind.
'Just had my operation, but keep smiling and I will come back. Never give up and be strong,' he told Chelseafc.com from his hospital bed.
The 20-year-old Dutchman was left needing surgery on his ACL (anterior cruciate ligament) after injuring himself in the first half of Tuesday's Capital One Cup win over Swindon.
He is expected to be missing for the next six months.
Van Ginkel tried to play on after suffering the injury in the first half of the Blues' 2-0 Capital One Cup victory but was replaced by Ramires – also taken off at half-time with injury – midway through that half.
But an MRI scan revealed on Wednesday that the Dutchman had torn his ACL (anterior cruciate ligament) and will play no further part in Jose Mourinho's plans this season.
Chelsea assistant first team coach Steve Holland said after the match: ‘It’s too early to say, but it doesn’t look good for Marco.