KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 31, 2013

Hawa ndio matajiri ambao wataamua hatma ya mshambuliaji Gareth Bale na utajiri wao peupe soma taarifa hii.

Time to talk: Spurs majority shareholder Joe Lewis (left) and chairman Daniel Levy look set to lose Gareth Bale
Tajiri mwenye hisa kubwa ndani ya klabu ya Spurs Joe Lewis (kushoto) na mwenyekiti wa klabu hiyo Daniel Levy sasa inaonekana wazi wanaelekea kumkosa Gareth Bale.


Man in the middle: Bale is on the brink of a big-money move from Spurs to Spanish giants Real Madrid
Jonathan Barnett and Daniel Levy

Money men: Wakala Jonathan Barnett, akiwa katika picha ya pamoja kushoto na Levy, yeye anamuwakilisha winga wa Spurs Bale

Gareth Bale anataka kujiunga na Real Madrid, kigogo cha soka nchini Hispania kingependa kuwa na Bale wakati ambapo bosi wa Tottenham Andre Villas-Boas na imani ya White Hart Lane kwa ujumla wakitaka raia huyo wa Wells kusalia.

Madrid watawasilisha ombi lao la pauni milioni £85 na mazungumzo baina ya pande m mbili hizo yakitarajiwa kufikiwa .
 
 Hawa ndio matajiri ambao wataamua hatma ya mshambuliaji huyo na utajiri wao peupe soma taarifa hii.

Joe Lewis

Joe Lewis
Age: 76

Who is he? Largest shareholder at Tottenham through ENIC.

Worth: £2.6billion
How he made his money: The ninth-wealthiest person in Britain spotted the rewards in currency trading. Now has a portfolio under the umbrella of the Tavistock Group, which includes ENIC, owners of Tottenham.
Influence on Bale: Nil. As a tax exile in the Bahamas, the London East End boy made good will have had little or no impact on the player. 
Previous deals: Leaves the running of the club to Levy.

Daniel Levy

Daniel Levy
Age: 51

Who is he? Chairman of Spurs and managing director of ENIC, the sports, media and leisure company who own the club. Former director of Rangers.

Influence on Bale: Fading fast. Levy has a reputation for taking a hard line and this saga has eerie similarities to the Luka Modric episode where the Croat also claimed he’d been given a verbal assurance he could join Real Madrid.

Previous deals: Dozens, including Michael Carrick (£18m) and Dimitar Berbatov (£30m) to Manchester United. 

Jonathan Barnett

Jonathan Barnett
Age: 63
Who is he? Chairman of the Stellar Group, a sports agency with offices in Britain, Africa and South America. Set up the company, which now represents 500 sports men and women, in 1994 with property developer David Manasseh. Clients include Joe Hart, Jack Butland, Scott Sinclair, Kolo Toure and Darren Bent.
Influence on Bale: Massive. Work out what five per cent of £85m is, and Barnett will be delighted to see his star at Madrid.
Previous deals: Most famously, Ashley Cole from Arsenal to Chelsea, a move which brought a tapping-up charge and a ban for Barnett. 

TUNAVUNJA REKODI YETU KAMA HAWATAKI PAUNI MILIONI 35 SISI TENA BASI, UNITED WABAINISHA.

Change the record: Cesc Fabregas is top of Manchester United's transfer list and they are prepared to break their transfer record with a third bid
Cesc Fabregas ndiye kinara wa mawindo ya Manchester United msimu huu wa uhamisho wa wachezaji wakiwa tayari kuvunja rekodi ya uhamisho kwa kuweka mezani pendekezo lao la tatu la kumtaka kiungo huyo.
Spain game: Cesc Fabregas is top of Manchester United's transfer list, but he is unlikely to be sold
Manchester United inajipanga kuvunja rekodi yao ya uhamisho kwa kuwasilisha pendekezo lao la jaribio la mara ya tatu na likiwa ni pendekezo la mwisho la pauni milioni £35 la kumtaka kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Hispania ndiye kinara wa mawindo ya msimu huu wa uhamisho ya meneja mpya wa United David Moyes mwenye lengo la kuimarisha safu yake ya ushambuliaji kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya soka nchini England.

Mabingwa hao wa ligi hiyo maarufu kama Barclays Premier League wamekuwa katika mazungumzo na Barcelona wiki kadha zilizopita ambapo walianza na pauni milioni £26 na baadaye £30 ambazo zote zilikataliwa na Barcelona wazee wa Katalunya.

UNITED'S RECORD BUYS

Roy Keane (Nottingham Forest, £3.75m - July 1993)
Andy Cole (Newcastle, £7m - January 1995)
Jaap Stam (PSV, £10.75m - July 1998)
Dwight Yorke (Aston Villa, £12.6m - August 1998)
Ruud van Nistelrooy (PSV, £19m - July 2001)
Juan Sebastian Veron (Lazio, £28.1m - July 2001)
Rio Ferdinand (Leeds, £30m - July 2002)
Dimitar Berbatov (Tottenham, £30.75m - September 2008).

 
Kwasasa United inajipanga upya kuwasilisha ombi lao la mara ya tatu linano karibia kufika pauni milioni £35 pamoja na ziada kiasi ambacho kitavunja rekodi ya klabu hiyo ya pauni milioni £30.75 ya meneja Sir Alex Ferguson kwa ajili ya kumnunua Dimitar Berbatov mwaka 2008.
Spain game: Despite United's determination, Fabregas is unlikely to be sold by Barca
Spain game: Despite United's determination, Fabregas is unlikely to be sold by Barca.

Cesc Fabregas
Fighting the cause: David Moyes has already seen two bids turned down for the Barcelona man
Fighting the cause: David Moyes has already seen two bids turned down for the Barcelona man

NAONDOKA: Katika siku ya kwanza ya Bale ya kurejea mazoezini ampa makavu AVB kwamba anataka kuondoka na hivyo Real Madrid wanaweza kukamilisha mpango wao wa pauni milioni £85?


Heading in: Gareth Bale returned to Tottenham training on Wednesday morning
Gareth Bale amwambia bosi wa Spurs Andre Villas-Boas kwamba anataka kuondoka na kuelekea Real Madrid.
Inbound: The Welsh star, who wants to move to Spain, arrived at training on Wednesday morning
Nyota raia wa Wells anataka kuondoka na kuelekea Hispania akiwasili mazoezini katika timu yake hii leo asubuhi.
Heading in: Bale pictured leaving his house this morning
Heading in: Bale pictured leaving his house this morning

Bale juu katika picha tofauti juu akiondoka nyumbani kwake Essex akielekea mazoezini katika klabu yake ya Tottenham.

Gareth Bale amemueleza bosi wake Andre Villas-Boas ana kwa ana kuwa anataka kuondoka Tottenham na kujiunga na Real Madrid kiangazi hii.
Hili linakuja likiwa ni pigo kwa Spurs katika siku ya kwanza ya kurejea kwake katika mazoezi baada ya kutokea songombingo la klabu kubwa ya nchini Hispania Real Madrid kuweka ofa ya kumtaka mshambuliaji huyo raia wa Wells yenye thamani ya rekodi ya dunia ya pauni milioni £85.
Mkurugenzi wa michezo wa Real Zinedine Zidane amesema Bale anatakiwa kuruhusiwa ili kukamilisha ndoto yake ya kuelekea Hispania na kuongeza kuwa anakuwa mchezaji bora wa dunai atakapokuwa Bernabeu.

Bale alishinda tuzo mbili za chama cha wachezaji wa kulipwa PFA na tuzo ya tuzo ya waandishi wa habari za michezo FWA mwaka uliopita na anatazamwa kama ni miongoni mwa wachezaji bora wa dunia.
No smiles: Bale, who could end up as the world's most expensive player, has a lot on his mind
Gareth Bale, ambaye anatazamiwa kuwa mchezaji mwenye thamani kubwa duniani.

Tottenham haina wasiwasi na utayari wa malipo ya pauni milioni £85 kutoka kwa Madrid kwa ajili ya mshambuliaji huyo, licha ya kwamba mwenyekiti wa klabu hiyo Daniel Levy kusalia na msimamo kuwa hawako tayari kuikubali ofa hiyo inayokaribia kufikia pauni milioni £100.
On his way: Bale held talks with Spurs chief Daniel Levy after a change of heart of his proposed move to Spain
Bale alifanya mazungumzo na kiongozi wa juu wa klabu hiyo ya Spurs Daniel Levy baada ya mabadiloko ya moyo wake kuelekea Hispania.

Crunch talks: Gareth Bale will discuss his future with agent Jonathan Barnett and Daniel Levy and the Tottenham chairman is likely to bow to the player's requests if the price is met by Real Madrid
Bale
Join us: Zinedine Zidane (right), with Real boss Carlo Ancelotti, have been on a charm offensive
Join us: Zinedine Zidane (right), with Real boss Carlo Ancelotti, have been on a charm offensive
Touchline: Tottenham manager Andre Villas-Boas was desperate to keep hold of his key man
Touchline: Tottenham manager Andre Villas-Boas was desperate to keep hold of his key man
Dynamic duo: Bale thrived under Villas-Boas' management at White Hart Lane last season
Dynamic duo: Bale thrived under Villas-Boas' management at White Hart Lane last season
World record: The deal for Bale eclipses the £80m fee Real paid for star man Cristiano Ronaldo in 2009
World record: The deal for Bale eclipses the £80m fee Real paid for star man Cristiano Ronaldo in 2009
Holding his hands up: Bale will only consider moving to Real Madrid at this stage, not Manchester United
Holding his hands up: Bale will only consider moving to Real Madrid at this stage, not Manchester United
Bale
Bale

On his way: The Spanish media are clearly excited by the potential arrival of the Welsh winger, with sports paper AS even crediting 'Daily Mail' reports on their front page
Poster boy: Bale is a valuable marketing tool for Spurs, with this poster in Times Square, New York
Poster boy: Bale is a valuable marketing tool for Spurs, with this poster in Times Square, New York

Tuesday, July 30, 2013

WADAU WA SOKA SONGEA KUJADILI UREJESHWAJI WA MAJIMAJI LIGI KUU TANZANIA BARA

JULAI 30 2013

WADAU WA SOKA SONGEA KUJADILI UREJESHWAJI WA MAJIMAJI LIGI KUU TANZANIA BARA
Ø  Klabu kuendeshwa kikampuni na hisa kuuzwa.

 Kampuni ya Tanzania Mwandi ikishirikiana na Majimaji FC, imeandaa mkutano wa wadau wote wa soka mkoani Ruvuma chini ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Said Mwambungu, mkutano utakaofanyika katika ukumbi wa Centenary tarehe 10. 08. 2013, kuanzia saa 2 asubuhi.
Lengo kubwa la mkutano ni kurejesha makali ya 1985, 1986 na 1998 kwa klabu ya soka ya Majimaji kwa kuiunda upya kiuchumi chini ya mfumo wa Kampuni, kuijengea uwezo wa kimkakati na kiuendeshaji ili iweze kushiriki kwa mafanikio Ligi Daraja la Kwanza na hatimaye kurejea Ligi Kuu msimu ujao.
Itakumbukwa kuwa Majimaji FC ni klabu ambayo imezalisha magwiji wengi wa soka Tanzania kama Abdala Kibadeni ‘Mputa’, Madaraka Suleimani ‘Mzee wa Kiminyio’, Peter Tino, Steven Mapunda ‘Garincha’, Hamis Gaga, Idd Pazi, Omary Hussein ‘Machinga’ na Mdachi Kombo na ni klabu ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kwa Simba na Yanga.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya Habari na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Mwandi, Bwana Teonas Aswile amewaalika wafadhili na wadau wote wenye mapenzi mema na Majimaji FC kujitokeza na kushiriki katika zoezi la mjadala wa muundo mpya wa Majimaji na hata kununua hisa kwani sasa Majimaji Kampuni haitakuwa na longolongo zozote.

“Binafsi nawahimiza wafadhili wa soka kwamba hii ni fursa adimu nyingine ya kuwekeza fedha zao mahali salama. Majimaji itakuwa ikiendeshwa kikampuni na miradi mbalimbali itaanzishwa na klabu ikiwemo upande wa ukandarasi na kuuza wachezaji nje ya nchi. Kwahiyo atakayenunua hisa atafaidika mara mbili.” alisema Teonas Aswile.
Akizungumzia wachokoza mada wakuu wa Majimaji Revival Conference, Aswile amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa FIFA na Mwanasheria Maarufu nchini, Dkt Damas Ndumbaro pamoja na Bwana Silas Mwakibinga, mhasibu na mdau mkubwa wa michezo ambaye ameshashika nafasi mbalimbali.
Kwa sasa maandalizi kwaajili ya Mkutano wa Wadau wa Majimaji FC “Wanalizombe” yanaendelea vyema na wanaohitaji taarifa wanaweza kuwasiliana na Bwana Nasib Mahinya kwa 0655 468800.
Pia viongozi wa Majimaji FC kama Katibu Mkuu Majimaji FC 0752 622887
 Imetolwa na;
Tanzania Mwandi Co Ltd.
Phone: +25522 2120677 or +255756 829071
Fax: +255 22 2122976

KUTOKA TFF: MTIHANI WA UWAKALA WA WACHEZAJI, MECHI SEPT 26, WAAMUZI VPL KUFANYA MTIHANI WA UTIMAMU WA MWILI na RATIBA LIGI DARAJA LA KWANZA AGOSTI 14

Na
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Mtihani wa uwakala wa wachezaji (players agent) na uwakala wa mechi (match agent) wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Alhamisi ya Septemba 26 mwaka huu saa 4 kamili asubuhi kwenye ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Kutakuwa na jumla ya maswali 20 kwenye mtihani huo, 15 yanatoka FIFA kuhusiana na kanuni za kimataifa za mpira wa miguu na matano yatatoka TFF kuhusiana na kanuni mbalimbali zinazotawala mchezo huo nchini.

Kwa ambao wangependa kufanya mtihani huo utakaokuwa katika lugha ya Kiingereza ambayo ni moja kati ya lugha nne rasmi za FIFA wanatakiwa kujisajili TFF kwa ada ya dola 50 za Marekani ambapo watapewa utaratibu na maeneo ambapo mtihani huo unalenga.

Mtihani huo utafanyika saa 4 kamili asubuhi, na muda wa kufanya mtihani hautazidi dakika 90.

Mpaka sasa Tanzania ina mawakala watano wa wachezaji wanaotambuliwa na FIFA. Mawakala hao ni John Ndumbaro, Mehdi Remtulla, Ally Saleh, Yusuf Bakhresa na Said Tully.

WAAMUZI VPL KUFANYA MTIHANI WA UTIMAMU WA MWILI
Waamuzi wote wa daraja la kwanza (Class I) wanaotaka kuchezesha Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2013/2014 wanatakiwa kuhudhuria mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) utakaofanyika katika vituo viwili.

Mtihani huo utafanyika Agosti 12,13 na14 mwaka huu katika vituo vya Dar es Salaam na Morogoro. Kituo cha Mwanza kitahusisha waamuzi kutoka mikoa ya Geita, Kagera, Katavi, Kigoma, Manyara, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Singida na Tabora.

Kituo cha Dar es Salaam kitahusisha waamuzi kutoka mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kilimanjaro, Lindi, Mbeya, Morogoro, Mtwara, Njombe, Pwani, Ruvuma na Tanga.

Washiriki wote wanakumbushwa kuwa ni lazima wafuate utaratibu huo wa vituo, na si vinginevyo. Pia waamuzi waliofungiwa (sio maisha) wanatakiwa kushiriki katika mtihani huo.

RATIBA LIGI DARAJA LA KWANZA AGOSTI 14
Ratiba ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2013/2014 inayoshirikisha timu 24 zilizo katika makundi matatu zikicheza kwa mikondo miwili (nyumbani na ugenini) inatarajiwa kutolewa Agosti 14 mwaka huu.

Kundi A linaundwa na timu za Burkina Moro ya Morogoro, JKT Mlale (Ruvuma), Kimondo SC (Mbeya), Kurugenzi Mufindi (Iringa), Majimaji (Ruvuma), Mkamba Rangers (Morogoro), Polisi (Iringa) na Polisi (Morogoro).

African Lyon (Dar es Salaam), Friends Rangers (Dar es Salaam), Green Warriors (Dar es Salaam), Ndanda (Mtwara), Polisi (Dar es Salaam), Tessema (Dar es Salaam), Transit Camp (Dar es Salaam) na Villa Squad (Dar es Salaam) zinaunda kundi B.

Timu za kundi C ni JKT Kanembwa (Kigoma), Mwadui (Shinyanga), Pamba (Mwanza), Polisi (Dodoma), Polisi (Mara), Polisi (Tabora), Stand United (Shinyanga) na Toto Africans (Mwanza).

Tunapenda kukumbusha kuwa dirisha la usajili kwa madaraja yote ni moja ambapo usajili wa hatua ya kwanza ni kuanzia Juni 15 hadi Agosti 3 mwaka huu wakati hatua ya pili ni Agosti 14 hadi 29 mwaka huu. Dirisha dogo litafunguliwa Novemba 15 hadi Desemba 15 mwaka huu.

FABIO CAPELLO AELEZEA SABABU YA KWANINI ENGLAND INASHINDWA KUCHUKUA MATAJI.

Bosi wa zamani wa timu ya taifa ya England Fabio Capello ameelezea kushindwa kuchukua mataji makubwa kwa England kuwa kunatokana na ukweli kwamba wachezaji wanakuwa wamechoka sana wanapofikia mwishoni mwa msimu.

Kocha huyo Mtaliano ambaye kwasasa ni kocha wa timu ya taifa ya Urusi, anaamini kuwa kukosokena kwa muda wa kupumzika katikati ya msimu wa ligi kuu ya England  maarufu kama Premier League kunapelekea wachezaji wa England wanaochezea ligi hiyo kujikuta wako tena mashindano katika kipindi cha mashindano makubwa ya kipindi cha Kiangazi.

Alipoulizwa juu ya England kushindwa Capello aliuambia mtandao wa FIFA.COM kuwa ni kwasababu wanakuwa wamechoka kuelekea katika mashindano makubwa

‘Ni kama unapoendesha gari , unaposimama katikati ya safari kuweka mafuta ni dhahiri utafika uendako lakini kama usimami ni wazi kuwa utakuwa unasafiri ukiwa huna mafuta kabla ya kufikia malengo.

‘Maoni yangu ni kwamba michezo inayochezwa katika nusu ya kwanza ya msimu inakuwa ni bora kuliko ya nusu ya pili. Na kwasababu hiyo kama kweli unataka kuwa katika hali ya ushindani katika ligi unahitaji kuwa na kikosi ambacho sehemu kubwa hakitakuwa na wachezaji wa timu ya taifa.’

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 67 amesisitiza kuwa wakati wa uongozi wake England mambo yalikwenda vizuri na kuongeza kuwa 
‘Kilikuwa ni kipindi kilichokwenda vizuri na kwamba inamuuma akikumbuka kichapo cha nchini Afrika Kusini mwaka 2010 dhidi ya Ujerumani katika akisema kikosi kile kilimridhisha sana.

‘Niliwasili wakati timu ikiwa imekosa kufuzu michuano ya Ulaya Euro 2008, lakini chini yangu tulifanikiwa kufuzu kampeni mbili.

‘Rekodi yangu ya kushinda michezo ilikuwa nzuri na pia nilijaza wachezaji vijana kama Danny Welbeck, Jack Wilshere, Phil Jones, Ashley Young, James Milner na Joe Hart.

Henrique Hilario ajipelekea ziarani Marekani licha ya kuachwa na Chlesea apanda ndege moja na wachezaji wengine

Henrique Hilario huenda akakabidhiwa mkataba mwingine wa mwaka mmoja na klabu ya Chelsea baada ya mlinda mlango huyo aliye nje ya mkataba kusafiri na kufanya mazoezi na watoto wa darajani katika ziara ya maandalizi ya msimu barani Amerika.

Kikosi hicho kutoka London ya kaskazini kimeelekea Marekani hii leo kikiwa na wakali wake kadhaa walioshiriki michuano ya Confederations Cup kama Juan Mata, Fernando Torres, David Luiz, Oscar, Cesar Azpilicueta na John Obi Mikel ambao walikuwa wameongezewa muda wa kupumzika baada ya kurejea kutoka katika michuano hiyo.

 Katika safari hiyo kulikuwepo na sura ya mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 37 ambaye ameungana na walinda mlango wengine Petr Cech, na mlinda mlango kinda Jamal Blackman pamoja na mlinda mlango mpya Mark Schwarzer licha ya kuachwa na timu hiyo baada ya kumalizika msimu uliopita.

Hilario na mlinzi Ross Turnbull kwa pamoja waliondoka katika klabu hiyo yenye maskani yake Stamford Bridge baada ya mchezo wa mwisho wa msimu dhidi ya Everton ambapo mikataba yao ilikuwa imemalizika rasmi. 

Hata hivyo inaonekana kama mlinda mlango huyo mkongwe wa Ureno ambaye alisajiliwa ndani ya klabu hiyo na Jose Mourinho mwaka 2006 wakati huo Mourinho akiwa meneja kwa awamu ya kwanza, huenda akapewa mkataba mwingine wa mwaka mmoja wa kuongeza.

Kikosi cha Mourinho kinajipanga na mchezo wa Ijumaa dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki kabla ya kuendelea na ratiba ya michezo mingine iliyo katika ratiba yaoa ya ziara yao ya wiki mbili.

Micho amfananisha muuaji wa magoli mawili dhidi ya Tanzania katika uwanja wa Nambole kuwa ni kama Didier Drogba.

 


Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uganda 'Uganda Cranes'  Milutin 'Micho' Sedrojevic amelinganisha ubora wa magoli anayofunga mshambuliaji wake Frank Kalanda na magoli anayofunga mfungaji wa wakati wote wa Ivory Coast Didier Yves Tebily Drogba.

 Drogba ambaye kwasasa anaichezea klabu ya Galatastaray ya Uturuki ndio mshambuliaji anayedhaniwa kuwa ni mfungaji mwenye magoli ya kusisimua barani Afrika na Ulaya wakati akivichezea vilabu mbalimbali kuanzia wakati huo katika vilabu vya Le Mans, Guingamp, Olympique De Marseille vya nchini Ufaransa na vilabu vingine vya England na Uchina vya Chelsea na Shanghai Shenhua.

Akimzungumzia mshambuliaji huyo Micho amenukuliwa akisema 
"Anapolitafuta goli, njaa yake ya kutaka kutikisa nyavu, nguvu, uwezo wa kulinda mpira na ari kubwa ya Kalanda anafanana kabisa na style ya uchezaji wa Didier Drogba".

Wakati hayo yakiwa hivyo kocha huyo mzaliwa wa Serbian ameweka wazi kuwa Kalanda bado ana safari ndefu ya kuthibtisha ubora wake na kipaji chake.

"Ni zao la kipindi cha kati, anahitaji kumalizia kujiimarisha zaidi kwa kupiga polishi kipaji na kuwa nyota wa dunia. Kitu kizuri ni kijana na ana kiu ya kujifunza "

Micho amemfananisha pia na mshambuliaji wa zamani wa Sports Club Villa , Ekuchu Kasongo, ambaye alikuwa anacheza kwa style ya Kalanda's. "

Frank Kalanda mshambuliaji kijana mwenye umri wa miaka 21, alifunga gopli safi katika mchezo dhidi ya Tanzania katika mchezo wa pili wa marudiano wa michuano ya wachezaji wa ligi za ndani barani Afrika CHAN mchezo uliopigwa katika uwanja wa Namboole maarufu kama uwanja wa Mandela mwishoni mwa juma lililopita. Magoli yake mawili yaliisaidia sana Uganda kukata tiketi ya kucheza fainali ya CHAN mwakani nchini Afrika kusini.

Jack Wilshere wa Arsenal niko tayari kwa asilimia 80 kuelekea kuanza kwa msimu.

Wilshere: I'm 80 per cent ready for new season
Jack Wilshere
Jack Wilshere ana imani kuwa klabu yake ya Arsenal itakuwa ni moto wa kuotea mbali wakati kufikia wakati ya ligi ya kuanza msimu lakini pia akagusia juu ya uimara wa afya yake kuwa iko katika asilimia 80.
 
Kiungo huyo wa washika mitutu ambaye alikosekana katika michezo ya mwisho ya kumalizia msimu uliopita kufuatia The Gunners midfielder, who missed the back end of last season through kuwa katika hali ya majeruhi lakini akishiriki ziara ya barani Asia hivi karibuni akitegeme zaidi kupasha misuli katika michuano maalum ya klabu yake maarufu kama Emirates Cup na pia katika mchezo dhidi ya Manchester City katika kujiweka fiti na kampeni mpya ya ligi.

Amenukuliwa akisema,
‘Nilijisikia vema katika kila mchezo baada ya mchezo’
‘Ilikuwa ngumu kutokana na hali ya hewa , unapigana na hali ya kupumua. Kiwango katika michezo ya barani Asia ilikuwa ikiimarika kila mchezo mmoja na pia wapinzani walipata taabu katika kila mchezo hivyo yalikuwa ni maandalizi mazuri.

‘Tutakuwa na mashindano ya Emirates Cup na pia tutacheza na Man City mjini Helsinki na baada ya hapo msimu utakuwa unaanza tutakuwa na moto mzuri,

Monday, July 29, 2013

WAKATI GARETH BALE AKIWEKEWA NGUMU NA KLABU YAKE KUVUNJA REKODI YA DUNIA, SOMA TAARIFA HII KUZIJUA WALIWAHI WAHI KUVUNJA REKODI HUKO NYUMA....................................................


Record breaker? Gareth Bale could be set to join Real Madrid from Tottenham for a staggering £85million
Record breaker? Gareth Bale could be set to join Real Madrid from Tottenham for a staggering £85million.

 From a £100 Scot to £80m Ronaldo, will Bale's touted move to Real Madrid break the world

It has been broken 41 times over 120 years to the total cost of an astonishing £411,964,490.
And that could soon go over the half a billion pound mark if Tottenham's Gareth Bale breaks it again to become the most expensive player in history signing for Real Madrid for a mind-boggling fee.
Sheffield United broke it in 1913, so too did Preston North End and Derby County, both in 1949.

Five in a row for Madrid?

Real Madrid have broken the transfer record four times in succession - for Luis Figo, Zinedine Zidane, Kaka and Cristiano Ronaldo.
The Spanish giants want to do so again by signing Gareth Bale from Tottenham for £85million.
Scroll down for a full list of the record-breaking deals.
We are, of course, talking about breaking the world transfer record. But it wasn't always about multi-million pound deals, players demanding moves and agents touting their clients around the globe. It started with £100.
Scot Willie Groves was the very first player to be transferred for a three-figure sum when he moved from West Bromwich Albion to Aston Villa for £100 in 1893. Fast forward to 2013 and multiply that amount by 800,000 and the record is still Cristiano Ronaldo's £80,000,000million move to Real Madrid in 2009.
Main man: Cristiano Ronaldo is the world's most expensive player after joining Real Madrid for £80m
Main man: Cristiano Ronaldo is the world's most expensive player after joining Real Madrid for £80m.

Main man: Cristiano Ronaldo is the world's most expensive player after joining Real Madrid for £80m
During that time the record has exchanged hands 41 times across 12 countries all over the world.

Diego Maradona broke it twice in a row – first moving from Boca Juniors to Barcelona for £3million in 1982 and almost doubling that two years later when he moved to Napoli for £5m.
Luis Suarez has done it once. Not that Luis Suarez, of course, but the Spanish Suarez who in 1961 moved from Barcelona to Inter for £152,000. It was the first transfer fee to move into six figures. Fourteen years later Bologna's Giuseppe Savoldi was the first to push the million pound mark when he moved to Napoli for £1.2m.
Times have changed: Enrique Omar Sivori joined Juventus from River Plate for £93,000 in 1957
Times have changed: Enrique Omar Sivori joined Juventus from River Plate for £93,000 in 1957.

Diego Maradona
Johan Cruyff

Superstars: Johan Cruyff (left) and Diego Maradona both broke the record during their distinguished careers.

England dominated the spending in the first half of the 20th century but since 1951 Alan Shearer is the only Briton to subject to a record deal – when he moved from Blackburn Rovers to Newcastle for £15m in 1996 – and Manchester United are the only English club to be included in a record transfer by selling Cristiano Ronaldo to Real Madrid in 2009.
Having never previously paid a record breaking transfer fee, Real Madrid have paid the last four since 2000, for Luis Figo (£37m), Zinedine Zidane (£53m), Kaka( £56m) and Ronaldo – and could be about to break it for a fifth consecutive time. The fee for Ronaldo's transfer is greater than the first 33 record breakers all added together.
History: Signing Ronaldo saw Real Madrid break the record for the fourth time in a row following the signings of Luis Figo from bitter rivals Barcelona (above), Zinedine Zidane from Juventus and Kaka from AC Milan (below)
History: Signing Ronaldo saw Real Madrid break the record for the fourth time in a row following the signings of Luis Figo from bitter rivals Barcelona (above), Zinedine Zidane from Juventus and Kaka from AC Milan (below).

Zinedine Zidane

Kaka
The list includes some sparkling names; Roberto Baggio, Ruud Gullit, Johan Cruyff, (the original) Ronaldo and Gianluca Vialli, to name only a few.

Italy lead the way as record breakers. They have sold the most expensive player on the planet 13 times, bought the most expensive player on the planet 18 times and they must put something special in their pasta because nine Italians have been the most expensive signing.
Failed: Denilson's transfer to Real Betis for £21.5m in 1998 stunned the world but he struggled to impress
Failed: Denilson's transfer to Real Betis for £21.5m in 1998 stunned the world but he struggled to impress.

Alan Shearer, Newcastle United
Lazio new signed Argentinian forward Hernan Crespo

Strike it rich: Hernan Crespo (left) and Alan Shearer broke the record, joining Lazio and Newcastle respectively

Full list of world record football transfers
World record football transfers

World record football transfers by country

transfers

TIAGO SILVA AWAMALIZA KABISA BARCELONA YENYE MATATIZO SEHEMU YA ULINZI WA KATI.


Mlinzi wa kati aliyekuwa anawindwa na Barcelona Thiago Silva amesaini mkataba mwingine wa nyongeza na klabu yake ya nchini Ufaransa ya Paris St-Germain.

Mlinzi huyo wa kati alijiunga na mabingwa hao wa ligi ya Ufaransa mwaka 2012 kwa ada ya uhamisho ya pauni  £36m, kwa mkataba wa miaka mitano na sasa akitarajiwa kumaliza mkataba huo mwaka 2018.

Barcelona ilikuwa ikitarajiwa kumsajili  nyota huyo wa kimataifa mwenye umri wa miaka 28 raia wa Brazil lakini suala la maslahi limeendelea kumbakisha ndani ya klabu yake ya PSG.

Mlinzi mkongwe wa Barca Carles Puyol mwenye umri wa miaka 35 amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya mguu tangu mwezi March, wakati ambapo mlinzi Gerard Pique, Adriano Correia na Javier Mascherano wamekuwa mareruhi.

Barcelona imekuwa ikihusishwa na mlinzi mwingine wa kimataifa wa Brazil kutoka klabu ya Chelsea David Luiz, lakini mwezi Juni wakakanusha kuwa hawakuwa katika mawindo ya kumsajili mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 26 wakati huo Tito Vilanova akiwa katika benchi la ufundi.